Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Kuna kitu hakiko sawa BAVICHA

Vikao vya chama vipo kwenye ngazi ya Msingi na ukipeleka maoni yanafika Taifa. Ukiwa mwanachama una wajibu wa kuhudhuria vikao vya chama! Kila mwanachama ana kikao cha kuhudhuria na niwajibu.

Chama kitapigiwa kura na wanachama, wapenzi, washabiki na wale watakaokubaliana na sera zetu. Tunaendelea kuwajengea imani watanzania kuwa sisi ndio tumaini jipya. Watakaotuelewa watatupigia Kura.

Kukosoa viongozi kwa wanachama ni kwa kufuata utaratibu, Otherwise itakuwa yale yale, Naibu Katibu mkuu anaenda kuulizia hesabu za chama kwenye Ofisi za PAC. Huo ni upuuzi!

Umeelezea kuhusu washabiki....Kwa hio washabiki hawaruhusiwi kukosoa? kwa sababu wanachama ndio wanahudhuria hivyo vikao.

Hebu panueni akili kidogo...kwenye dunia ya sasa unaanzaje kukwepa criticisms?

Hata Obama is criticized....Labda high dictatorial regime ndio inakataa criticism
 
Wewe utakuwa ni wakala wa magamba! Wanachama wa cdm wanafahamu utaratibu na wanapeleka maoni/mawazo yao kwenye chama na taasisi zake kwa utaratibu! Mnajifanya Bavicha na Bawacha kumbe ni UWT!
nafikiri wewe nimgeni humu jf,wana BAVICHA TUACHE KUWARUSHIA KILA KITU CCM,KAMA KUNATATIZO TUKUBALI NA TUJISAHIHISHE.
 
unasema tutulie ili iweje? ili ikifika octoba tuanze kushikana uchawi? au tuanze kusema ccm wametuhujumu
Peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, Huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu

 
Peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, Huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu


Hilo la kupeleka huko ni swala tofauti lakini la kukosoa pia ni lingine...

Kumbuka kuna fundamental human right ya freedom of expression.....
 
Naona unatumia yale macho yenu yamakengeza ya nyoka kutazama mimi sijawai kua mshirika wa fisi tukulize wewe unayepokea ruzuku kule

Acha kuropoka...ongea walau hata point moja

Mkuu grow up basi

Wewe ni chadema wa wapi mbona mtupu hivi?
 
nafikiri wewe nimgeni humu jf,wana BAWACHA TUACHE KUWARUSHIA KILA KITU CCM,KAMA KUNATATIZO TUKUBALI NA TUJISAHIHISHE.

Nimejiunga na Jumbo Forum mwaka 2006 na Jamii Forums 2011. Kama ni ugeni basi ni wewe!

Nisome tena Mkuu! Nimesema hakuna tatizo kukosoana na hakuna asiyependa kusahihisha makosa. Swala hapa ni utaratibu!
 
peleka malalamiko au ushauri kwenye vikao au ofisi za chadema zilizo karibu nawe watazishughulikia. Huku kwenye mitandao ya kijamii sio ofisi zetu, huku unaweza kujibiwa na washabiki au wanachama wa kawaida..... Official ni muhimu mkuu

unaelewa maana ya mjadala mpana.lazima kuwe na nia ya kitu lakini kwa mawazo niliyoyaona hapa ya baadhi ya wanaojiita wana bavicha, inadhihirisha bado tinasafari ndefu ya kuwakomboa situ wananchi bali hata wananojiita wanachama.
 
NAOMBA NIWEKE WAZI KUWA SIWEKI POSTI HII ILI KUVURUGA UMOJA HUU,WALA SINA NIA YA KUFARAKANISHA VIONGOZI,NIA YANGU NI KUANZISHA MJADALA MPANA ILI KUUSAIDIA UMOJA WETU UENDANE KASI INAYO TAKIWA.

Baraza la vijana wa chadema kwa sasa linaonekana limefubaa,ni thahiri uongozi uliopo unashindwa kubuni mambo,hauna kasi iliyokuwepo hapo awali alipokuwepo Mh,Heche, uongozi ni kama unafanya mambo kwa kushuliwa na baadae una lala tena.niwazi mwenyekiti wetu amzidiwa mbinu au hana mbinu za kuchangamsha baraza.

Wana bavicha niwazi sasa tunahitaji mbinu mbadala,au plan B, baraza linahitajika kuamka na uongozi ukubali kuanzisha kikosi kazi maalum kitakachokuwa ndani ya bavicha kwaajili ya kazi hiyo,mwenyekiti abaki ofisini kusimamia harakati hizo kwasababu hata kwenye operesheni alizoshiriki ameonyesha kutomudu mikiki mikiki na badalayake amakuwa akimezwa na waliomzunguka na kutoonekana kabisa,amekuwa kama anauoga flani.

Tunahitaji kikosi kitakacho changamsha baraza letu hata ikiwezekana waliogombea nafasi ya mwenyekiti na kushindwa basi,wapewe uwanja maalum wa kuendesha siasa ndani ya bavicha ili baraza lichangamke na kurudisha msisimko uliokuwepo awali.

kwamuda ambao mwenyikiti amekuwepo umetosha kumpima na kujua ni mtu wa aina gani,uwezowake jukwaani tumesha ufahamu,huvyo hatupaswi kuendelea kupoteza muda wakati uchaguzi unakaribua.

NI WAKATI WA KUCHUKUA HATUA SASA KWA USTAWI WA UMOJA WETU

Msaliti msaliti msaliti msaliti ndivyo utakavyobatizwa bahati yako umetumia id feki. Haya mambo pelekeni kwenye vikao vyenu kama hakuna uhuru wa mawazo njoo huku tupiganie maslahi ya taifa siyo vyama.
 
Hakuna cha kuporomoka hapa wewe...CDM ipo na itakuwepo sana....Lazima tukosoane ...huo ndio uhai wa chama
Huo ndio mwanzo wa usaliti huo! Kwanini yasipelekwe kewnye vikao husika!
 
Nimejiunga na Jumbo Forum mwaka 2006 na Jamii Forums 2011. Kama ni ugeni basi ni wewe!

Nisome tena Mkuu! Nimesema hakuna tatizo kukosoana na hakuna asiyependa kusahihisha makosa. Swala hapa ni utaratibu!

Kuhusu utaratibu nakubaliana na wewe.

Ni ajabu Mnyika akaja hapa na kuanza kukosoa chama bila kufuata utaratibu

Ni ajabu Mwenyekiti wa tawi la Mbozi akaja hapa na kuanza kukosoa chama

Ila kwa mtu kama Victor Mwalusimbi Mwakatete wa kule sumbawanga ambaye bado hajawa mwanachama wa chadema na ana hamu ya mabadiliko yaongozwe na CHADEMA huwezi kumzuia kupost kwenye public forum kama hii kukosoa.

Na tukubaliane tu hapa JF Date of joining is not an issue...Hoja ndiyo issue
 
Patrobas anakera...Enzi hizi zinatakiwa kuwa na BAVICHA vibrant

Heche aliiweza nafasi hii

This guy is a disgrace



Sisi vijana wa BAVICHA tunajua anachokifanya mwenyekiti,mpaka sasa ashafanya mambo makubwa mazuri ya chama na BAVICHA ,naona mashabiki na washindani wake aliowabwaga kwenye uchaguzi wa BAVICHA mnarudi upya bt tutawashughulikia tu,haina jinsi
 
Mkuu si kila anaeweka post hapa ni ccm na haina maana kupokea sifa au kupenda.kusikia kile unachokitaka tu, ni busara kama unapenda kusifiwa basi upende na kukosolewa, chadema.haiwezi kupotezwa na post za jf bali inaweza kujirekebisha,

Hili nitatizo kubwa ukweli unabaki kwamba BAVICHA imepwaya nikweli dogo PATROBASI inasemekana ni msomi lkn km nikweli anahitaji kz yakuwa MENEJA kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA amepwaya hatusemi kwa ubaya ila huo ni ukweli....Watu wanasema mijadala km hii iwe kwenye Vikao mnadhani wt tunaosupport CDM tuna acces yakuingia kwenye vikao? Honestly tunahitaji moto aliouacha HECHE tusidanganyane kuna mapungufu Ingawa watu wengine
 
Back
Top Bottom