Kuna kitu gani special CHAKO NI CHAKO Bar?

YEYE

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
437
72
Kwa wale wenyeji wa Dodoma watakuwa wanaifahamu hy Bar maarufu kwa kuuza nyama choma, kuku nk,Kwa wanaopenda kwenda bar hy ningependa kujua kuna kitu gani tofauti sana na bar nyingine za Dodoma, ukizingatia mazingira ya eneo hl ni ya kawaida sana,hasa nyakati za usiku huwa panajaza watu sana.
 
Pale mkuu tokana na uzoefu wangu wahudumu wa pale dah! Huwa wananikosha sana ila hakuna kitu spesho sana pakawaida sanaa!
 
Waheshimiwa wetu (MPs), nadhani watakuwa na wajibu mazuri kuhusu Chako ni Chako. Kuna kitu special pale!
 
Ngojangoja waje wenye udau (wadau) wa maeneo ya ulabu na vyakula vya Bar .
 
Kwa sababu Dodoma hakuna options, viji bar vyote ni vichafu, vidogo, huduma mbovu (kama hapo Chako ni Chako penyewe) ila Chako ni Chako imeshajijengea brand name. Ni sawa na Rose Garden kwa Dar, ina premium name kuuubwa lakini hakuna chochote cha maana pale. Hata hivyo Chako ni Chako ingekuwa Dar ingekuwa labda Charambe huko ndio ingewika. Food/hospitality industry ni mbovu nchini kwa ujumla
 
zamani kulikuwa na kanga zimeandikwa 'usile gizani kwa kumuogopa jirani'

sasa nyie hapo mnazipapasa kuku gizani kwa kumuogopa nani???

Wa akina mh?

Pamoja na utamu wa kuku ila kuna giza sana, humuoni jirani! Teh
 
Ucku pamekaa fresh na lile giza swafi,mchana bwana yan hapatamanishi kbs vumbi mtindo mmoja!uspecial ni ule utam wa kuku wa pale!
 
maarufu co chako ni chako kunakibaa cha pembn ndo sasa anamfunika mwnzie sbb wabunge na watu maarufu pia wtt wa udom hujaa pale.jamaa flanG&G akja humu atasema sana
 
Back
Top Bottom