Bar na sehemu za starehe nzuri Kwa Jiji na Dodoma

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.

Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.

Pia Kuna Malaika Annex, Kuna La Patrona, Chako ni Chako, Budaz Pub(Migombani? Waswanu Pub, Kuna Rise Up, Kuna Kito Bar.

Kuna Hotel Kama Southern Empire, Esperanza, nk nk... Karibuni Sana

Screenshot_20220630-103347.jpg
 
Wakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.
.
Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.
.
Pia Kuna Malaika Annex, Kuna La Patrona, Chako ni Chako, Budaz Pub(Migombani? Waswanu Pub, Kuna Rise Up, Kuna Kito Bar.
.
Kuna Hotel Kama Southern Empire, Esperanza, nk nk... Karibuni Sana View attachment 2277285View attachment 2277286View attachment 2277287

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Taja bar gani yenye mbususu za kueleweka

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Wakuu Karibuni Dodoma Ambako Kuna Bar, Lounge na Hotel NZuri Kwa ajili kula Gambe na Kuenjoy Pia.

Kuna Bar NZuri Kama Bambalaga, Pork Joint, Pestana Pub, New Royal Village.

Pia Kuna Malaika Annex, Kuna La Patrona, Chako ni Chako, Budaz Pub(Migombani? Waswanu Pub, Kuna Rise Up, Kuna Kito Bar.

Kuna Hotel Kama Southern Empire, Esperanza, nk nk... Karibuni Sana

View attachment 2277287
Bila kusahau kwa bubu muuza kuku wa kuchoma wa kienyeji

Clabash maeneo ya Ariel D karibu na Royal
Village.
 
Njia ya Swaswa kuna chimbo moja hataree Trampoline Bar an Lounge wana lodge Kali pia
 
Niko la patrona hapa kuna pimbi anakumbatia malaya hapa ananitolea maneno mbofu mbofu 😂😂😂
 
Wakuu Yule jamaa anayetoa maneno mbofu mbofu anasema yeye ni usalama kumbe usalama wa faifa ni mambanga yakilew hanson choice wanaropoka namna hii 😂😂
 
DODOMA

Pia kuna fursa nyingi kuanzia watu wenye mitaji midogo mpaka mikubwa...... uwekezaji kwenye Bustani, ufugaji, viwanja bila kusahau mashamba.

Kwenye mashamba waweza kujishughulisha na ukulima wa ZABIBU , ALIZETI, KARANGA, MPUNGA, MAHINDI , MBAAZI, DENGU na kadhalika......

Hapo hapo kwenye Kilimo waweza kujishughulisha na UNUNUZI wa mazao, kitu ambacho kimekuepusha na risks zote za kikulima.

NB: Wapendwa wenzangu tusijisahau ktk kuwekeza tukajikita kwenye starehe pekee.... life is too short unless ulikuta kwenu ni "READY MADE"
 
Mkuu kinalipa kilimo huko nataka nijitose maana plan yangu ilikuwa vitunguu singida
 
Back
Top Bottom