Kuna kitu gani special CHAKO NI CHAKO Bar?

Hakuna uspesho wowote. Mazoea tu.

Ningeshangaa kama angejibu mtu mwingine tofauti na wewe Husninyo (ikiaminika kama inavyoaminika kuwa Dom waijua vema)! Naomba niwe mgeni wako wiki chache zijazo ili unipeleke kama si chake ni chako basi sehemu nyingine. Kwa gharama zangu!
 
hehehe, sio mwenyeji kihivyo bwana. Napajua chako na maisha club tu. Lol.
 
Ngojangoja waje wenye udau (wadau) wa maeneo ya ulabu na vyakula vya Bar .

Ukiwa pale Chako Ni Chako opposite utakuta kuna ka Bar kanaitwa Saturday...hapo ni pazuri kuliko Chako ni Chako yan ukiagiza firigisi utajiramba hadi uchoke
 
Back
Top Bottom