Kuna kitabu unatafuta? - Nitafute!

LIBRARY

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
231
234
Haya haya wale wazee wa kupanua uelewa na kuongeza uwezo wa kifikra, Napenda kuwajuza kuwa nimeamua kuja kivingine kama Books library / Maktaba kuu. Kazi yangu mimi itakua ni kukutanisha na Vitabu mbalimbali, journals, Academic researches, Novels, comics na vijarida vingine vingi ambavyo vimeshawahi kuandikwa na watu mashuhuri Duniani.

You name it, we find it.

-Karibu
 
Sikunyongwa,
Mzee Hegal Karl Uroose, Kabwe Makanika "Jitu Kumbuka", Bi. Halima n.k.
 
Mimi natafuta kitabu kitwacho MAZUNGUMZO YA ALFU LELA ILELA,MASHIMO YA MFALME SULEIMAN naomba yangu hii 0655200004
 
Vitabu nilivyo navyo kwa sasa ni vya kizungu tu. Maana ndio vinavyopatikana online kama soft copy.
 
Nahitaji vitabu vya Harold Robbins... Kama unavo naomba niambie ni title gani unazo niagize asap.

Nahitaji kitabu ya Jeffery Archer cha 'Kane and Abel' na mwendelezo wake wa 'Prodical Daughter'

Niambie vya Mario Puzzo unavo title gani navo nahitaji...

Nahitaji pia vitabu vya Marian Keyes.
 
Nahitaji vitabu vya Harold Robbins... Kama unavo naomba niambie ni title gani unazo niagize asap.

Nahitaji kitabu ya Jeffery Archer cha 'Kane and Abel' na mwendelezo wake wa 'Prodical Daughter'

Niambie vya Mario Puzzo unavo title gani navo nahitaji...

Nahitaji pia vitabu vya Marian Keyes.
By Mario puzo - Godfather, Padrino
By Jeffery Archer - Kane and Abel, The Fourth Estate, Honor Among Thieves na As the crow flies
 
Natafuta "My Life In Crime" alikiandika jambazi mmoja Mkenya (John Baptista Wanjohi, better known by his pen name John Kiriamiti) nilikosoma zamani sana nikiwa Primary school sijapata kukiona kikiuzwa popote online.
 
Natafuta "My Life In Crime" alikiandika jambazi mmoja Mkenya, nilikosoma zamani sana nikiwa Primary school sijapata kukiona kikiuzwa popote online.

Aaah Kiranga I read that book too. I have a copy back home in Moshi
 
Back
Top Bottom