Kuna kitabu unatafuta? - Nitafute!

Kuna kitabu unatafuta? - Nitafute!

Wakuu naomba mwenye vitabu hivi anisaidie:​

1.God, the Bible and the Blackman's Destiny...​

2. African Genesis: Amazing Stories
Vimeandikwa na Dr. Ishakamusa Barashango
Natanguliza shukurani🙏
 
This book
IMG_20220205_200357_779.jpg
 
Nahitaji vitabu vya Harold Robbins... Kama unavo naomba niambie ni title gani unazo niagize asap.

Nahitaji kitabu ya Jeffery Archer cha 'Kane and Abel' na mwendelezo wake wa 'Prodical Daughter'

Niambie vya Mario Puzzo unavo title gani navo nahitaji...

Nahitaji pia vitabu vya Marian Keyes.

Kamata hivyo ...
 
Sina uhakika ila ni story inayohusu familia 2 walitoroka from East Berlin to West Berlin enzi hizo kwa kutumia baloon.
Imetengenezewa pia movie ni true story.

mwandishi ni robert masello?
 
Sina uhakika ila ni story inayohusu familia 2 walitoroka from East Berlin to West Berlin enzi hizo kwa kutumia baloon.
Imetengenezewa pia movie ni true story.
Hakuna kitabu, ila script-writers walichukua matukio ya hiyo familia na kuyatengenezea filamu.
Ila kama ni kitabu chenye title hiyo ya "NIGHT CROSSING" unaweza ukapata.
 
Basi ebu cheki kama kipo pls
 
Nahitaji vitabu vya Harold Robbins... Kama unavo naomba niambie ni title gani unazo niagize asap.

Nahitaji kitabu ya Jeffery Archer cha 'Kane and Abel' na mwendelezo wake wa 'Prodical Daughter'

Niambie vya Mario Puzzo unavo title gani navo nahitaji...

Nahitaji pia vitabu vya Marian Keyes.
kamata mzigo
 
Attachments

The Prodigal Daughter
 
Attachments

ngoja nijaribu ku-attach hapa

Mwandishi: Robert Masello
Jina: The Night Crossing
Shukran mkuu

Ila naona hii ni Fiction na story haiendani na movie script inaelekea title zinafanana ila nyama ndani tofauti
 
Habari wadau, mwenye kitabu cha malaika wa shetani cha Benny R Mtobwa. Tafadhar
 
Natafuta vitabu hivi:

  • A spy among friends by Ben McIntyre
  • My silent war by Graham Greene
 
Mkuu naomba unisaidie kitabu kinachoitwa fate of cockroach.
 
Back
Top Bottom