Amka asubuhi uende ndani ya huo msikiti uwaambie wanakupigia kelele watakuomba samahani wataacha kukusumbua hutawaskia tena.
Tunatambuana kwa matamshiHapo ndo mnapoferi na kuwa misukure, tunaongelea mambo muhimu wewe unaishia kutukana watu. Unajuaje kama mimi si muislamu
Mu Africa hakuwa na dini , dini zililetwa ili kurahisisha utawala kwa Africa,Wewe si hamee sehemu hiyo ulizani umekuja duniani kustarehe amka umuabudu mila wako
Sibishani na uelewa wako lakini natambua unayo imani yako na unaolinda ausio?Mu Africa hakuwa na dini , dini zililetwa ili kurahisisha utawala kwa Africa,
Mkuu Sina imani na kitu chochote.Sibishani na uelewa wako lakini natambua unayo imani yako na unaolinda ausio?
Full Blood Picture na Kuna wanaimba huku wanakohoa usiku usiku eti ndio wanamtaja Allah, sijui ni ibada Gani hizi za hovyo
Wewe imejibu kwakuwa huna imani yoyote huwezi kujuwa uchungu wa wenye imani ndio maana hata sisi hatuna muda na upagani wakoMkuu Sina imani na kitu chochote.
Principal yangu kuu ni kuishi na binadamu kwa wema basi.
Na suruali na shati zililetwa mbona unapenda kuvaaMu Africa hakuwa na dini , dini zililetwa ili kurahisisha utawala kwa Africa,
Rudi tarime, bila shaka huo msikiti mliukutaKuna watu huku mkuu wanaendekeza sana kelele. Yaani wanapiga kelele mara tano kwa siku. Watu wanakatishwa usingizi kila siku
Kwa uelewa wangu, adhana zinafanywa na kila msikiti ili kuwaita watu waende kuswali. Adhana kuwa moja kwa Posta na nyingine Kariakoo, sijui umechukua kanuni gani.Serikali ya TZ inazichukia dini kama Mila na desturi kumbe dini ni mabaki ya ukoloni, dini hazitakiwi kupewa kipaumbele wala kuendeleza shughuli zake.
Mfano hapa Post TU na kariakoo Kuna misikiti Iko karibu karibu hata MITA 100, hazifiki, lakini cha ajabu kila msikiti unapiga adhana kwenye speeker kwa sauti kubwa ya ajabu , kwani nini adhna isitolewe TU kwa msikiti mmoja Posta na kariakoo ili kupunguza makerere .
Chukua kizuri (faida) acha kibayaNa suruali na shati zililetwa mbona unapenda kuvaa
Hata makanisani wanatakiwa kuwa na kengele ndogo ,sauti yake inasikika meters chache TU,Kwa uelewa wangu, adhana zinafanywa na kila msikiti ili kuwaita watu waende kuswali. Adhana kuwa moja kwa Posta na nyingine Kariakoo, sijui umechukua kanuni gani.
Hata hapa Magomeni Mapipa kuna Makanisa mawili karibu karibu. Kila siku tunasikia kengele kutoka Makanisa yote hadi tumezizoea.
Maneno yako yanapaswa na hekima zaidi kuliko yalivyo