KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Acha uchochezi
 
Shida ilipo ni kwamba hakuna kipimo Cha sauti inayotakiwa kutoka kwenye hizo speaker 🔊 kwenda nje.

Watanzania tumeumbwa kuvumilia,tuvumiliane
 
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Ndugu yangu wewe kila wakianza hizo kelele zao wewe litaje tu jina la "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwa kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu" utaona tu kila wakianza kupiga kelele zao utaona wananza kukabwa Koo.

Utaona wanakoma wenyewe hao.
 
Bibi yake ni mwislamu ila babu mkristo , sasa aliniomba ushauri wa kufuata kimoja , kwa binti yangu nilimwacha achague sio lazima awe kama mimi, akaomba mawazo yangu , ,nikamchagulia dini ya bibi yake, na sasa anafuraha sana .
Kila mtu ana uhuru wa kuabudu anakotaka sio kulazimishana.😎
 
Serikali ya TZ inazichukia dini kama Mila na desturi kumbe dini ni mabaki ya ukoloni, dini hazitakiwi kupewa kipaumbele wala kuendeleza shughuli zake.

Mfano hapa Post TU na kariakoo Kuna misikiti Iko karibu karibu hata MITA 100, hazifiki, lakini cha ajabu kila msikiti unapiga adhana kwenye speeker kwa sauti kubwa ya ajabu , kwani nini adhna isitolewe TU kwa msikiti mmoja Posta na kariakoo ili kupunguza makerere .
Wewe si uhamee sehemu hiyo ulizani umekuja duniani kustarehe amka umuabudu mola wako
 
Makafiri wengi wanakuwa
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi Beach eneo la Mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Makadirio banaa mh
 
Amka asubuhi uende ndani ya huo msikiti uwaambie wanakupigia kelele watakuomba samahani wataacha kukusumbua hutawaskia tena.
 
Back
Top Bottom