KERO Kuna kelele katika Msikiti wa Kunduchi Beach

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Serikali ya TZ inazichukia dini kama Mila na desturi kumbe dini ni mabaki ya ukoloni, dini hazitakiwi kupewa kipaumbele wala kuendeleza shughuli zake.

Mfano hapa Post TU na kariakoo Kuna misikiti Iko karibu karibu hata MITA 100, hazifiki, lakini cha ajabu kila msikiti unapiga adhana kwenye speeker kwa sauti kubwa ya ajabu , kwani nini adhna isitolewe TU kwa msikiti mmoja Posta na kariakoo ili kupunguza makerere .
Ni sheria ziwekwe sawa tu, makelele ya speaker yamepitwa na wakati; kwani haiwezekani mambo kimya kimya
 
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Sheria kupanga hizi kabla hujahamia sehemu zifuate

1.kama kuna mama au baba mwenye nyumba kamwe usikae hiyo nyumba

2. Kama hiyo nyumba ndo chanzo kikuu cha mapato cha mmliki ukijua hilo hama kama hujahamia usihamie

3.kama kuna msitiki au kanisa la walokole jirani msikitin usihamie hata iwaje

4.uswahilini kamwe epuka mitaa ambayo waswahili wengi

5.luku za kushare kama kuna sub meter hamia ila vizuri kila mtu luku yake

6.nyumba iko barabarani hasa za vumbi afu dirisha la nyavu jiandae kila siku kupambana na mavumbi
 
Hakuna kitu kinakera kama kelele! Kuanzia kelele za hivyo vipaza sauti vya waislamu, kelele za mziki wa kwenye mabaa, kelele za baadhi ya makanisa, kelele za honi za magari, kelele za pikipiki za wale wendawazimu, nk.

Ifikie wakati watu waheshimu uhuru, utulivu na mapumziko ya watu wengine. Kuamini kila mtu kwenye eneo anavutiwa na sauti ya juu ya mahubiri yako, mziki wako, na kelele zako za kila aina; ni uonevu mkubwa sana.
 
Wewe na huo Msikiti nani kamkuta mwenzake? Ukitafuta maeneo mwambie Dalali au omba ramani ya mipango miji usiwe karibu na nyumba za Ibada.
 
Sisi majirani karibu na msikiti wa kunduchi beach mtakuja, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu kelele kubwa kutoka msikiti huo uliopo mtaa wa Mbudya. Ibada katika msikiti huu huanza kuanzia saa 10 alfajiri, na sauti inayotumika ni kubwa kupita kiasi kiasi cha kuwasumbua wakazi wa eneo hili, hasa nyakati ambazo watu wanahitaji kupumzika.

Hali hii si ya kawaida, na imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa kwa wakaaji. Sauti inabaki kuwa kubwa hata mchana, jambo linaloathiri utulivu wa majirani. Tunatambua na kuheshimu uhuru wa kuabudu kama haki ya msingi, lakini ni muhimu kutekeleza ibada bila kusababisha usumbufu kwa wengine.

Kumekuwa na juhudi kadhaa za kuwasihi viongozi wa msikiti huu kupunguza kiwango cha sauti, ikiwa ni pamoja na mazungumzo ya ana kwa ana na hata barua rasmi kutoka kwa uongozi wa mtaa. Hata hivyo, juhudi hizi hazijazaa matunda kwani bado tatizo linaendelea na uongozi wa msikiti haujaonyesha ushirikiano.

Tunaomba serikali sikivu na mamlaka husika kuingilia kati ili kuhakikisha kwamba ibada zinaendelea bila kelele kubwa zinahathiri utulivu was wakaaji wa mtaa huu. Dini inatufundisha kuishi kwa utulivu na kujali wengine.
Kuna wimbi kubwa la watumishi au manabii sa hiv wametapakaa kwenye mastand ya daladala, masokoni na sehem nyingj za wazi, imefika hatua hadi kwenye baadhi ya usafiri wa umma unakuta watu wanahubiri, na napata shida kujua nan haswa anatoa hivi vibali. Ila serikali itusaidie kwa dini zote hizi kuangakia ni kwa namna gani huzi changamoto zinatatuliwa angalau kuwekwe muongozo sahihi wa kutimiza ibada katika dini zote hizi mbili kwa utulivu na aman
 
Tunahitaji muongozo. Tunaishi kiholela sana kwenye mambo ya kiroho.
 
Back
Top Bottom