Kuna karatasi yako moja muhimu hutaiona!

cheti ni hati ya kisheria ambayo inatolewa kama dondoo, kuthibitisha kifo binadamu. Hata hivyo, ugumu na idadi ya maswali yanaweza kutokea katika maandalizi ya dhamana hizo.

Kama tunaona hali kwa mtazamo wa kisheria, hati itakuwa imetolewa kwa ajili ya kutambua umma wa ukweli wa kifo, ambayo inasimamiwa na baadhi ya masharti ya kisheria. Katika hali hii, hoja muhimu yameandikwa katika Makala 64-68 katika sheria, ambayo ilianza kutumika tarehe 1997/11/15 mwaka.

Mwaka 2017 hakuna mabadiliko kufanyika. hati iliyotolewa, pamoja na kifo cha mtu imesajiliwa juu ya sheria ya kiwango. Ni aina gani ya nuances anapaswa kujua kuhusu? Jinsi ya kuteka Cheti cha kifo? Ni wapi ninaweza kupata hati? Ni muhimu kufahamu kuwa cheti sampuli chache: muhuri na matibabu. Je, si kuwachanganya nyaraka hizi. Kila mmoja wao ana madhumuni yake

533443_382565375111181_100000731660068_1178248_311061477_n.jpg
 
Sio muhimu kuiona yanin? Sasa inathibitisha kifo na tayar nimekufa mwili Wangu unakuwa umeshathibitisha iyo karatasi ni mbwembwe tu.
 
Mmh..[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Dunia ya makaratasi.. Ndivyo ninavyoweza kusema. Makaratasi yaitwayo nyaraka ndio yanaiongoza dunia

Makaratasi ya vibali mbalimbali
Makaratasi ya vyeti mbalimbali
Makaratasi ya pesa mbalimbali
Makaratasi ya mikataba mbalimbali
Makaratasi ya hati za kusafiria
Makaratasi ya utambuzi nknk

Tangu kuzaliwa mpaka kufa ni makaratasi ndio yanatuongoza, kuanzia nyumbani, makazini, michezoni, kwenye biashara, sanaa, ubunifu, mahusiano, viwango vya elimu nknk.! Bila makaratasi hutambuliki kwa chochote kile, huaminiki wala hujulikani.

Karatasi ndio zitakutambulisha siku na mahali pa kuzaliwa na mwaka pia
Karatasi ndio zitatambulisha viwango vyako vya elimu
Karatasi ndio zitatambulisha mahusiano yako kisheria
Makaratasi ndio yatatambulisha vitu na mali unazomiliki
Makaratasi ndio yataamua kiwango cha ukwasi ama ufukara wako

Hivyo basi daima sisi ni watu wa makaratasi na tunayatunza kweli kweli. Ni karatasi hiyo hiyo inayotengenezwa kutokana na miti ndio tunaitumia hiyo hiyo kuhimiza watu wasikate miti[emoji38]

Kwenye makabati yetu tunayo makaratasi mengi tu tumeyatunza vema na yakipotea tunapata tabu kweli LAKINI kuna karatasi moja tu linalokuhusu sana wewe pekeyako ambalo hutakaa ulione.. Nalo ni katarasi litakaloandikwa kuthibitisha mwisho wako.

Linaitwa HATI YA KIFO. Hili watabaki nalo utakaowaacha na ndio litakuwa MUHIMU kuliko yale yote uliyoyatunza maisha yako yote.

giphy.gif
Hayo ndiyo matatizo ambayo mababu zetu walio jenga mapyramids huko Misri yaliwakumba. Walikuwa wa kwanza kwenye kupiga mahesabu na wa kwanza kwenye organization na wa kwanza kwenye kubadilisha uchawi kuwa science ya medicine na wa kwanza kwenye mambo ya kalenda, lakini walishindwa kitu kidogo tu, kutumia herufi kuihifadhi lugha yao na hivyo utaalam wao, kitu ambacho wagiriki walikigundua na kukitumia na baadae waarabu na warumi na mwishowe caucasians wengine wa Ulaya na hiyo ndiyo ulikuwa mwisho wa mwafrika kuthaminika kama binadam.

Lait mababu zetu wangefanikiwa katika kuihifadhi lugha yao na utaalam wao kwenye makaratasi kwa kutumia symbols rahisi ambazo kila mmoja angeweza kuzitambua kirahisi kama caucasians walivyofanya, sisi ndiyo tungekuwa tuna utawala ulimwengu na sio caucasians na maisha yangekuwa mengine kabisa. Kwanini mababu zetu hiki kiliwashinda, inabaki kuwa ni mshangao!!!

Please! Chukua mda kuangalia hii documentary utajua kwanini nimeandika hayo na utajifunza mengi kuhusu our ancestors.
 
Hapa duniani ni tabu sana yaani dunia ina mambo meengi lkn yote yanatunzwa kwenye makaratasi...
 
Lait mababu zetu wangefanikiwa katika kuihifadhi lugha yao na utaalam wao kwenye makaratasi kwa kutumia symbols rahisi ambazo kila mmoja angeweza kuzitambua kirahisi kama caucasians walivyofanya, sisi ndiyo tungekuwa tuna utawala ulimwengu na sio caucasians na maisha yangekuwa mengine kabisa. Kwanini mababu zetu hiki kiliwashinda, inabaki kuwa ni mshangao[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Hapa duniani ni tabu sana yaani dunia ina mambo meengi lkn yote yanatunzwa kwenye makaratasi...
Waafrika tulidharau nguvu ya karatasi/ maandishi...sasa linatuwakia[emoji1541][emoji1541]

Lait mababu zetu wangefanikiwa katika kuihifadhi lugha yao na utaalam wao kwenye makaratasi kwa kutumia symbols rahisi ambazo kila mmoja angeweza kuzitambua kirahisi kama caucasians walivyofanya, sisi ndiyo tungekuwa tuna utawala ulimwengu na sio caucasians na maisha yangekuwa mengine kabisa. Kwanini mababu zetu hiki kiliwashinda, inabaki kuwa ni mshangao
Maneno Meier
 
Linaitwa HATI YA KIFO. Hili watabaki nalo utakaowaacha na ndio litakuwa MUHIMU kuliko yale yote uliyoyatunza maisha yako yote
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

Weird: this has never been important
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Weird: this has never been important
[emoji3064][emoji3064][emoji3064]... To whom[emoji848][emoji2827]
 
Dunia ya makaratasi.. Ndivyo ninavyoweza kusema. Makaratasi yaitwayo nyaraka ndio yanaiongoza dunia

Makaratasi ya vibali mbalimbali
Makaratasi ya vyeti mbalimbali
Makaratasi ya pesa mbalimbali
Makaratasi ya mikataba mbalimbali
Makaratasi ya hati za kusafiria
Makaratasi ya utambuzi nknk

Tangu kuzaliwa mpaka kufa ni makaratasi ndio yanatuongoza, kuanzia nyumbani, makazini, michezoni, kwenye biashara, sanaa, ubunifu, mahusiano, viwango vya elimu nknk.! Bila makaratasi hutambuliki kwa chochote kile, huaminiki wala hujulikani.

Karatasi ndio zitakutambulisha siku na mahali pa kuzaliwa na mwaka pia
Karatasi ndio zitatambulisha viwango vyako vya elimu
Karatasi ndio zitatambulisha mahusiano yako kisheria
Makaratasi ndio yatatambulisha vitu na mali unazomiliki
Makaratasi ndio yataamua kiwango cha ukwasi ama ufukara wako

Hivyo basi daima sisi ni watu wa makaratasi na tunayatunza kweli kweli. Ni karatasi hiyo hiyo inayotengenezwa kutokana na miti ndio tunaitumia hiyo hiyo kuhimiza watu wasikate miti[emoji38]

Kwenye makabati yetu tunayo makaratasi mengi tu tumeyatunza vema na yakipotea tunapata tabu kweli LAKINI kuna karatasi moja tu linalokuhusu sana wewe pekeyako ambalo hutakaa ulione.. Nalo ni katarasi litakaloandikwa kuthibitisha mwisho wako.

Linaitwa HATI YA KIFO. Hili watabaki nalo utakaowaacha na ndio litakuwa MUHIMU kuliko yale yote uliyoyatunza maisha yako yote.

giphy.gif
Salute kaka mkubwa.
 
Waafrika tulidharau nguvu ya karatasi/ maandishi...sasa linatuwakia[emoji1541][emoji1541]

Lait mababu zetu wangefanikiwa katika kuihifadhi lugha yao na utaalam wao kwenye makaratasi kwa kutumia symbols rahisi ambazo kila mmoja angeweza kuzitambua kirahisi kama caucasians walivyofanya, sisi ndiyo tungekuwa tuna utawala ulimwengu na sio caucasians na maisha yangekuwa mengine kabisa. Kwanini mababu zetu hiki kiliwashinda, inabaki kuwa ni mshangao
Maneno Meier
Na pia inafahamika kuwa ni ngumu kuwa billionaire Kama huwezi kutumia kutunza kumbukumbu ktk makaratasi..kwhy tunaweza kusema makaratasi ndio mama wa dunia na kalamu ndio baba wa dunia.... Bila kalamu , makaratasi huwa tasa .....
 
kwhy tunaweza kusema makaratasi ndio mama wa dunia na kalamu ndio baba wa dunia.... Bila kalamu , makaratasi huwa tasa .....[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548] Thinking great way[emoji1534][emoji1534][emoji1534]
 
Dunia ya makaratasi.. Ndivyo ninavyoweza kusema. Makaratasi yaitwayo nyaraka ndio yanaiongoza dunia

Makaratasi ya vibali mbalimbali
Makaratasi ya vyeti mbalimbali
Makaratasi ya pesa mbalimbali
Makaratasi ya mikataba mbalimbali
Makaratasi ya hati za kusafiria
Makaratasi ya utambuzi nknk

Tangu kuzaliwa mpaka kufa ni makaratasi ndio yanatuongoza, kuanzia nyumbani, makazini, michezoni, kwenye biashara, sanaa, ubunifu, mahusiano, viwango vya elimu nknk.! Bila makaratasi hutambuliki kwa chochote kile, huaminiki wala hujulikani.

Karatasi ndio zitakutambulisha siku na mahali pa kuzaliwa na mwaka pia
Karatasi ndio zitatambulisha viwango vyako vya elimu
Karatasi ndio zitatambulisha mahusiano yako kisheria
Makaratasi ndio yatatambulisha vitu na mali unazomiliki
Makaratasi ndio yataamua kiwango cha ukwasi ama ufukara wako

Hivyo basi daima sisi ni watu wa makaratasi na tunayatunza kweli kweli. Ni karatasi hiyo hiyo inayotengenezwa kutokana na miti ndio tunaitumia hiyo hiyo kuhimiza watu wasikate miti[emoji38]

Kwenye makabati yetu tunayo makaratasi mengi tu tumeyatunza vema na yakipotea tunapata tabu kweli LAKINI kuna karatasi moja tu linalokuhusu sana wewe pekeyako ambalo hutakaa ulione.. Nalo ni katarasi litakaloandikwa kuthibitisha mwisho wako.

Linaitwa HATI YA KIFO. Hili watabaki nalo utakaowaacha na ndio litakuwa MUHIMU kuliko yale yote uliyoyatunza maisha yako yote.

giphy.gif
Hati ya kifo ina umuhimu gani kwa mwendazake?au aliowaacha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom