Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,686
- 3,399
Marando kukimbilia ACT
Sawa mkuuEe, mkuu wahi huu utabiri wako uchue hakimiliki maana TB Joshua anauchukua sasa hivi,
Haaa ya marando tena???Marando kukimbilia ACT
Mbona hayo ni wazi kabisa na si mapya.Wana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!
1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!
2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!
3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!
Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?
Time will tell!!!
Mjinga wa kutoigwaWana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!

Mwambie Nchimbi amfuate Lowasa, kwani hajui aliko?Magufuli kuachiwa mbao za chama maana kitakuwa kimejifia natural death. Yeye na Makada wake RCs, DCs, DASs na Wakurugenzi ndio wanaachiwa CCM. Party Stalwarts wote wataondoka waziwazi au usiku na kutafuta njia nyingine ya kuishi mjini hapa. Unaachaje watu kama Nchimbi na wenzake halafu utegemee kuwa salama.
Kamuulize sele bonge, maana yeye ndio swahiba wake, kutwa wako kinondoni wanachagua mashati ya mitumba na sarawili.Hizi nyuzi zinazomhusu Makonda kuondolewa jiji ni bahati mbaya au mpango maalum.?
Hakuna cha mkakati mtu kama kashindwa kazi apishe/!!Kuna mkakati Wa vijana Wa Lumumba kuwaondoa vijana wenzao mjini dar sasa jamani mnataka wakalime au Na wao wakamatwe kwa kuwa awana kazi
hahaha basi sawa !Lowassa kuwataka wanachama wa CHADEMA wanaopenda utamaduni wa zamani wa chama kuondoka na kumuachia chama chake.
Hapo hujatabiri mkuu ume analyse based on some facts ni kitu ambacho kinaweza fanywa na mtu mwenye akili ya kawaida kabisaWana bodi kama ilivyo kawaida yangu kufanya udakuzi wa hali ya juu na kutabiri yajayo kuna mambo matatu yatatokea within next 3-12 month ndani ya selikali ya Rais Magufuli!!
1: Kuondolewa kwa mtu maarufu hapa town na kuhamishiwa kwingine!!!
2: Rais kupewa uenyekiti wa CCM na kuwaambia waziwazi wanafiki wajiondoe ndani ya CCM!!
3: Kuanza kujitokeza kwa wabunge wengine wa upinzani wanaomsapoti Rais waziwazi kama alivyofanya Joshua Nasari na Peter Musigwa!!
Rais yupo makini sana kwenye swala la utendaji kama aliweza kumtumbua waziwazi bwana Kitwanga ije iwe kwa hawa vidagaa?
Time will tell!!!
Sawa mkuu stay turnedHapo hujatabiri mkuu ume analyse based on some facts ni kitu ambacho kinaweza fanywa na mtu mwenye akili ya kawaida kabisa
kama beberu? duh? watu mmepania ile mbaya.Siyo paka during the heat?
Sio rahisi, mnachokiona kiko tofauti mh.ndicho anachotaka, msishangae kaambiwa alishughulikie hilo.Item No 1 & No 2 ziko wazi kabisa.
Huyo Dully Sykes wa Dar atachomolewa kwa fedheha sana