Kuna Dalili ya Mbunge Kusilimishwa Hapa!

Kuna Dalili ya Mbunge Kusilimishwa Hapa!

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2010
Posts
4,517
Reaction score
1,428
397645_433444263395972_2137091326_n.jpg
Mbunge wa mbeya mjini akiwa na mkewe na mtoto wake!
 
anataka kufana na Shy.......huyu jamaa inaonekana ana mvuto na damu za hawa
 
Jamaa ana ladha za waarabu/wahindi koko? Lol
 
Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...

Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.
 
chezeya SUGU weye...naona watoto machotara wanampendaga sana aisee...........
 
alipotoka hapo tulikua nae jirani na san siro kwa mroso tukapiga kitimoto ya kuchoma
 
Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...

Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.

unaonekana we ndio kibwengo....kwan nan kakwambia uislam ni mavaz?mrema anavaa kofia muda wote ila alishawahi kusema adhana ni makelele tu.imani c mavazi ni matendo yko yanayompendeza mungu.
 
Nilisikia kuwa huyo mzazi mwenza ni jamvi la wageni
Hata hivyo hainihusu
 
Back
Top Bottom