Kuna Dalili ya Mbunge Kusilimishwa Hapa!

Kuna Dalili ya Mbunge Kusilimishwa Hapa!

unaonekana we ndio kibwengo....kwan nan kakwambia uislam ni mavaz?mrema anavaa kofia muda wote ila alishawahi kusema adhana ni makelele tu.imani c mavazi ni matendo yko yanayompendeza mungu.
Wewe KIBWENGO hujajua kama Sugu kazaa na binti wa kiislam kuonyesha upendo, endelea kuhubiri chuki lakini huku mitaani tunapiga maisha yetu kama kawa bila kujali tofauti za dini.
 
Nilisikia kuwa huyo mzazi mwenza ni jamvi la wageni
Hata hivyo hainihusu

Ana heri maana ataitwa mwana wamungu na ataingia mbinguni kwa ukarimu wake!
 
jamani kupenda kubaya asikwambie n'tu
 
KOMA kabisa kuita watu wengine KOKO. Ina maana wewe kama umechanganya wazazi, tukuite kwa mfano Mnyamwezi KOKO? Au Muha Koko. Twaweza hata kukuita Mkala Koko..............

Tuchunge sana hizi lugha kwa watu wa Rangi nyingine. INAUMA si kawaida, ukiwa kwenye nafasi yake 🙁
Jamaa ana ladha za waarabu/wahindi koko? Lol
 
Sisi sote ni ndugu.Inaitwa 'tokomeza udini'
Hapana kusilimu wala nini,mapenzi mchanganyiko ndiyo yananoga!!!!!!!!!!!!!!
 
broo mbona unamshika mtoto kwa wasiwasi unaogopa utamdondosha?
 
Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...

Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.

Ohoooo My God...!
 
Wamemchukua mtoto hadi studio kupiga picha hii ni nini kama si ulimbukeni.
 
mrema anavaa kofia muda wote ila alishawahi kusema adhana ni makelele tu.imani c mavazi ni matendo yko yanayompendeza mungu.
nchi ambazo mimi nimefanikiwa kwenda hayo makelele sikuwahi kuyasikia kabisa hata makanisa yanayo weka masipika nje hakuna upuuzi kama huo...
 
Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...

Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.

nice talk
 
KOMA kabisa kuita watu wengine KOKO. Ina maana wewe kama umechanganya wazazi, tukuite kwa mfano Mnyamwezi KOKO? Au Muha Koko. Twaweza hata kukuita Mkala Koko..............

Tuchunge sana hizi lugha kwa watu wa Rangi nyingine. INAUMA si kawaida, ukiwa kwenye nafasi yake 🙁

umenichekesha sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom