Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,844
- 11,579
Sisi sote ni ndugu.Inaitwa 'tokomeza udini'
Hapana kusilimu wala nini,mapenzi mchanganyiko ndiyo yananoga!!!!!!!!!!!!!!
sure kiongozi.
Sisi sote ni ndugu.Inaitwa 'tokomeza udini'
Hapana kusilimu wala nini,mapenzi mchanganyiko ndiyo yananoga!!!!!!!!!!!!!!
Wamemchukua mtoto hadi studio kupiga picha hii ni nini kama si ulimbukeni.
toka kwa shy hadi kwa huyu ..ndio ladha za jamaa sio?
Hivi ni mke wake au mchumba wake?
Tunatengeneza Hybrid ya Christian n Islam = Chrisislam!
View attachment 79467
Mbunge wa mbeya mjini akiwa na mkewe na mtoto wake!
duu we kweli Ulukolokwitanga btw pole kwa ban:A S 11:Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...
Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.
Halafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...
Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.
point of collection,ni mchumba wake si mke wake,sug ajaoa
alipotoka hapo tulikua nae jirani na san siro kwa mroso tukapiga kitimoto ya kuchoma
mkuu hapo kwenye bold bora useme mapema ni typo kabla hujashushiwa banHalafu aibuke KIBWENGO yoyote aseme CHADEMA haipendi waislam...
Mh Sugu kaonesha kwa vitendo kuwa ubaguzi wa kidini unaohubiriwa humu JF na radio Imaan hauna uhusiano na maisha yetu ya kila siku. Tunatiana, tunakopeshana fedha, tunapeana lift, tunaalikana kwenye sherehe, tunazaana bila kujali tofauti za kidini. One Tanzania, One Nation.
jamani acheni nyie waarabu koko watamu sana
Hawala yake au demu wake. kuna majitu yanaropoka tu hayajui maana ya mke.
chezeya SUGU weye...naona watoto machotara wanampendaga sana aisee...........