Kuna dada humu nimetokea kumpenda vibaya mno

Shout, shout, shout man, naamini atakuelewa. Kama atakataa rudi hapa jamvini bila shaka watakuwepo wengine watakaokuonea huruma na kuchukua nafasi yake. Hakikisha unarudisha majibu tafadhali.
 
Mpe za uso,usiogope!uwe mjasiri,kama vp piga nyagi moja dry,then mpe maelezo hata kwa pm,atakuelewa!
 
kudondokeana na kihehere sio?
sema haraka mi niombe mtu anidake kabla sijamdondokea
Nambie unataka kumdondokea nani, tusije kugongana wakati wa kudondoka manake mie pia nna dalili za kumdondokea mtu!
 
hizo status unazo comment ni za jf au fb? kama ni wa jf nitume mimi niwe mshenga wako. lakini jiridhishe kwanza kama kweli ni msichana kabla haujanituma. sisi wote wamoja, jf moja. pamoja sana. Mia
 
Nambie unataka kumdondokea nani, tusije kugongana wakati wa kudondoka manake mie pia nna dalili za kumdondokea mtu!

hahahaaa mi nilifikaga kwenye mikono salama zama za mawe za mwanzo bana wee ndondoka tu...
 
kudondokeana na kihehere sio?
sema haraka mi niombe mtu anidake kabla sijamdondokea

Zama hizi wewe ukiwa na mtu unataka akudake unamwambia tu....full kiherehere, litakalotokea baada ya hapo, litajiju
 
Zama hizi wewe ukiwa na mtu unataka akudake unamwambia tu....full kiherehere, litakalotokea baada ya hapo, litajiju
hahahaa lol...zama za JK hizi sio!!!

mi staki mwache SL adondoke mwenyewe
 
Back
Top Bottom