Kuna dada humu nimetokea kumpenda vibaya mno

hahahaa lol...zama za JK hizi sio!!!

mi staki mwache SL adondoke mwenyewe

Unajua wanawake tunasubiri mpaka tuwezeshwe tunaharibu. Kama umemdondokea we sema tu, ndiko kuweza kwenyewe huko! :lol:
 
Samawani aunt!...nipo chini ya miguu yako!

He he he he, kumbe na mie mkareeee, nimetumisha msuli hadi SL akakimbia:lol:

una ulivyo na nidhamu hafifu sasa...

Afu ya uongo kweli, utadhani ile adabu ya "Shikamoo naomba sh mia"

Nimekukimbia kule kwa MS umenifuata tena huku? Kweli unanipenda, nsaidie kumtafuta Kongosho nimwombe msamaha!

Tatizo lako ni moja, Nikikusamehe unasema nimekuogopa, nikikupiga unasema nakuonea. Ngoja nitafute la kukufanza.

yuko kwa za big Bosi...

Huyo leo kadondokewa sijui wa nguo akazimia, si unajua ana kibanda pale mwenge.
:eyebrows::eyebrows:
 
Unajua wanawake tunasubiri mpaka tuwezeshwe tunaharibu. Kama umemdondokea we sema tu, ndiko kuweza kwenyewe huko! :lol:

umenikumbusha wimbo wa katoto fulani hivi, sijui kameishia wapi ulikuwa ukiimbwa...wanawake tuna wezaa wezaa, tunaweza wezaa!!!
hii ya kuwezeshwa not anymore, tunajiwezesha wenyewe!!

Mi nilidondoka kitambo bana nikadakwa!!...lol
wapi SL aje aseme anampango wa kudondokea pande zipi?
 
Afadhali tu ulidakwa, manake mambo ya kuteguka kiuno siyo!

SL kuja haraka sana, mimi nitamuwezesha akitaka, nitamsemea akinitajia
 
Keep it in the dark wenzio wamuwahi....uje na thread "my heart is broken niliyempenda kachukuliwa".
 
sasa nikisema nakuchukia kweli mi nina makosa gani.....umenichekesha hadi fanta orange imenipalia

:lol::lol::lol::lol:
:poa
Ha ha ha! Toka lini umeanza kunywa fanta orange tena ya moto?..
 
Afadhali tu ulidakwa, manake mambo ya kuteguka kiuno siyo!

SL kuja haraka sana, mimi nitamuwezesha akitaka, nitamsemea akinitajia
Hehehe! Gee bana, niliyetaka kumdondokea kumbe ana ulemavu wa mikono hivyo hataweza kunidaka.....ngoja niendelee kuangaza angaza nikimpata ntakushtua unisaidie kushusha mistari...lol
 
Back
Top Bottom