Mzazi kumpenda mtoto kupitiliza kunaharibu malezi ya mtoto

Kazanazo

JF-Expert Member
Aug 16, 2023
686
1,360
Unakuta mzazi, kila atakachofanya mtoto anamuacha akitaka kitu chochote lazima apatiwe mwisho wa siku mtoto anakuwa na tabia mbaya kupitiliza kama vile za kuomba omba watu ovyo, kutukana wakubwa na vitabia vingine vibaya vibaya

Tabia izo mtoto anaenda nazo hadi ukubwani na mzazi hawezi kumzuia tena mtoto huyo kuacha. Kwa wanawake unakuta kanavaa vinguo atakavyo, kanaomba omba wanaume na kanakuwa na majibu ya hovyo kwa mzazi wake na mzazi hana la kufanya

Kwa mwanaume uhuni wa kuvuta bangi na kuvaa milegezo na tabia nyingine mbaya huibuka na mzazi asiwe na la kumuonya kwani kamlea kwa kumdekeza

Story: Kuna siku tulikuwa site tunajenga hapo tunapojenga kuna katoto ka kike wastani wa miaka 15 au 16. Kalikuwa kanakuja pale site kwakuwa tupo karibu na kwao basi ni kujipitisha kakiona hakaitwi kanaingia ndani kanabadili nguo fupi kanakuja tena ivo ivo hadi cku inaisha

Watu wa pale wakamwambia mama mzazi wa yule mtoto kuwa awe makini na vijana lakini huwa anasema kiurahisi tu kuwa akimwambia hataki ko amfanyeje. Basi sisi tulimaliza kazi kwa siku tulizokaa pale wakaja mafundi wengine haikuchukua round dogo akabebeshwa mimba na masela wakasepa.
 
Hii ni kweli kabisa mkuu. Haya ndiyo yanaitwa malezi holela
 
Tatizo hilo kwa sasa ni kubwa mno.

Watoto wanaviburi kishenzi, mitusi mikubwkikubwa hatari.

Ndio maana madogo wengi wanakula fegi na gambe wakati bado wadogo kishenzi tena huru kahisa road.
 
Mguse sasa uone mwenye mtoto atakavyokuja juu maana yeye ndo anajua kuzaa kuliko kiumbe chochote duniani
 
Tena usiombe alelewe na single mother aisee! hawa watu wanajua kulea kizungu duh unaeza zani ni mtu na boyfriend wake
Kuna mmoja ana mtoto wa kiume, ile siku ya kwanza namuona yule dogo nilijua ni wakike. Alivyo na tabia zake ni zakike kabisa ila ni wakiume.
 
Ukimpenda kupitiliza uwezi kumkanya akikosea
Mnakosea kudhani hivyo vitu viwili lazima vifuatane. Mmefanya hata ionekana kana kwamba usipomuendekeza mtoto basi humpendi.

Mimi nampenda sana wangu ndio maana namkanya na kumfundisha kila nnachomfundisha, kazi za nyumbani included!
 
Back
Top Bottom