mbeba mabox yule raisi au katibu wake? Lol
Wanaume naombeni mawazo yenu..nawaza hii PM naituma heading nasema salaam
Kaka naomba uwe rafiki yangu ,kila nikiona psot zako navutiwa ,
hata siyapati maneno yakusema
@Marytina unanitisha zaidi uliposema umekataliwa na The Finest naogopa
Shem hebu mpeleleze huyo binti, isije ikawa zali limeniangukia bila kujua...... afu kama kawaida utaniPM. sawa eh?
Apa atakuwa Mr. Rocky tu, manake namwona EW kila akiweka post Mr. Rocky,anagonga malike......prove me wrong.oa
Hivi BAK ni Mhasibu au?
Jeeez! Nimekumbuka mambo ya Singular na Plural.... Sasa hapo mama unataka kumaanisha nini? Yaani kubaniana mchana kweupe namna hii?Babu ulionao wanakutosha ...
Kwa mawazo yangu...naona wanawake mnapenda kusumbuliwa..mwanamke usipompamba pamba, usipo msifia anakuwa hana raha kabisa!! Principle yangu ofisin, napenda kuwambia wadada wamependeza hata kama hawajapendeza...na wanakuwa happy the whole day. Usipomsifia tu anakuwa out of mood, anaweza hata akachukua ED!!lol...... Mimi ni mwanamke, na wanaume mwatusumbua saana, hivo jua daima niko pande zetu siwezi kukusifia kama hua watusumbua bana! na smile huyo kaja hapa....lol
Mwenzenu kila nikiona Avatar yake natabasamu
Nikiingia kitu cha kwanza lazima nimuangalie kama yuko online..
Nikivuta post zako kuview naridhika tu
Hatajwi popote lakini anaonekana ni mpole sana na anachangia pale anapoona kuna umuhimu wa kufanya hivo
Siwezi hata kumtumia PM kwani signature yangu inasema ....(......)
Sio maarufu JF kama wengine
Siwezi kuthubutu kumwambia kama ananivutia maana sina nafasi ya kumuweka ..
Yupo kama hayupo JF
20% Sifa ya moyo tamaa!
Tuliza moyo wako ......
Si wewe mzee wa Rula i wish hili swali angeuliza yeye ...
Hahahaha......... hebu i-delete hii post faster shem kabla EW hajaisoma akabadili mawazo....lolHuyu sidhani shem.... Ila kuna mmoja ananisumbua kweli yaan, nimesema ngoja upone huna nguvu ya kumkagua sasa....lol
hahahaha.... Finest naona ana bahati saana leo anatajwa tu in the lines of Love..... Mzee wa Rula wewe kuna mtu kakuchanganya? lol
Jeeez! Nimekumbuka mambo ya Singular na Plural.... Sasa hapo mama unataka kumaanisha nini? Yaani kubaniana mchana kweupe namna hii?
Kwa mawazo yangu...naona wanawake mnapenda kusumbuliwa..mwanamke usipompamba pamba, usipo msifia anakuwa hana raha kabisa!! Principle yangu ofisin, napenda kuwambia wadada wamependeza hata kama hawajapendeza...na wanakuwa happy the whole day. Usipomsifia tu anakuwa out of mood, anaweza hata akachukua ED!!
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi
Hahahaha......... hebu i-delete hii post faster shem kabla EW hajaisoma akabadili mawazo....lol
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi
Wasifu wa huyu mtu ...
1. Jukwaa lake kubwa ni Siasa- nikiingia kwa gia ya siasa atanishangaa na sina point za kusema
2.Intelligence forum anapita mara chache -
3. Business kidogo- mie sio mfanyabiashara kuwa naomba advice
4. Chitchat niliwahi ona post yake moja tu- tena alikuwa anashangaa .
5.Mapenzi sijawahi kumuona kabisa ..ndo maana napata kigugumizi
Principle yangu ofisin, napenda kuwambia wadada wamependeza hata kama hawajapendeza...