Haraka sana mawazo yako yatakutuma kwa walokole, waliojizindika, wasioamini katika uchawi ama ambao kiasili tu miili yao iko hivyo
Singuzumzii makundi hayo asilani...nazungumzia watu tofauti kabisa
Mchawi hana tabia za fisi, mchawi ana tabia za simba na chui....fisi hula mizoga, makombo,wanyama dhoofu na mara chache sana wanyama wenye nguvu zao
Tofauti na simba ama chui wao hupenda kula kitu fresh, mnyama ambaye yuko fit amfukuze ama amvizie amkabe amuue amle...ni mara chache mno kuwakuta hawa wanakula mizoga
Mchawi harogi teja,mchawi harogi mgonjwa, mchawi harogi mlemavu wala mtu yoyote mwenye kasoro kubwa kimaumbile....mchawi hupendelea kufanya mambo yake kwenye mwili uliofit mwili wenye afya, mwili wenye nguvu!
Kwanini huwa hivi!?
Mchawi kazi yake ni kuharibu kutesa na kuumiza...kwahiyo hawezi kuteza kilichoko kwenye mateso tayari, hawezi kuharibu kilichokwisha anza kuharibika nknk
Ukiona mchawi anatumia vitu hivyo si kwa nia ya kuharibu wala kuangamiza wala kutesa tena bali ni kwa nia ya kupata malighafi
Ndio maana ukitaka kumkomoa mtu unayehisi ni mchawi mwekee ama mpe kitu chenye mapungufu
Kama ni nguo ichane kipande
Kama ni ndala nk kata kipande
Kama ni noti nyofoa kipande nknk .....atakununia mpaka utoke upele![]()
![]()

Mshana nikurebishe kidogo.Mchawi kazi yake ni kuiba,kuharibu na kuua!Haraka sana mawazo yako yatakutuma kwa walokole, waliojizindika, wasioamini katika uchawi ama ambao kiasili tu miili yao iko hivyo
Singuzumzii makundi hayo asilani...nazungumzia watu tofauti kabisa
Mchawi hana tabia za fisi, mchawi ana tabia za simba na chui....fisi hula mizoga, makombo,wanyama dhoofu na mara chache sana wanyama wenye nguvu zao
Tofauti na simba ama chui wao hupenda kula kitu fresh, mnyama ambaye yuko fit amfukuze ama amvizie amkabe amuue amle...ni mara chache mno kuwakuta hawa wanakula mizoga
Mchawi harogi teja,mchawi harogi mgonjwa, mchawi harogi mlemavu wala mtu yoyote mwenye kasoro kubwa kimaumbile....mchawi hupendelea kufanya mambo yake kwenye mwili uliofit mwili wenye afya, mwili wenye nguvu!
Kwanini huwa hivi!?
Mchawi kazi yake ni kuharibu kutesa na kuumiza...kwahiyo hawezi kuteza kilichoko kwenye mateso tayari, hawezi kuharibu kilichokwisha anza kuharibika nknk
Ukiona mchawi anatumia vitu hivyo si kwa nia ya kuharibu wala kuangamiza wala kutesa tena bali ni kwa nia ya kupata malighafi
Ndio maana ukitaka kumkomoa mtu unayehisi ni mchawi mwekee ama mpe kitu chenye mapungufu
Kama ni nguo ichane kipande
Kama ni ndala nk kata kipande
Kama ni noti nyofoa kipande nknk .....atakununia mpaka utoke upele![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mtu kweli aliyemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake na akaishi maisha matakatifu harogeki mkuu na wachawi wanamuogopa,na wakijaribu matokeo ni mabaya mno kwao.Huu ndio ukweli ingawa wachawi wanajaribu kuficha ukweli huu.Hapa duniani kila kitu kinalogeka, iwe udongo, maji , jiwe , mti ,chuma , tofari , wanyama, viumbe hai & visivyo hai vyote vinalogeka.
Mtu kweli aliyemkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake na akaishi maisha matakatifu harogeki mkuu na wachawi wanamuogopa,na wakijaribu matokeo ni mabaya mno kwao.Huu ndio ukweli ingawa wachawi wanajaribu kuficha ukweli huu.

Ni kweli Mshana Jr.Lakini hiyo ni kwa sababu mtu ambaye hajaokoka Shetani anajua ni wake after all,kwa hiyo hakuna haja ya ku-deal naye.Ila ambaye ameokoka ni lazima atumie kila mbinu ili ampate kwa kuwa anaharibu kazi zake,lakini pia ili wapate kwenda pamoja jehanamu.It's a very painful truth Mshana Jr.Ila kumbuka hawa ndio huwa na vita kubwa zaidi kuliko wasiookoka
Jr![]()
chonde usije kusema hata jiwe!Hakuna kiumbe asierogeka,kwa taarifa yako hata chuma kinarogeka

happy new year
Nilipokuwa mdogo nilitokea kuwachukia sana hawa so called wachawi
Kila nikiambiwa kuwa ni mchawi (ambapo anajulikana mjini hapo) nilikuwa namahambulia kwa mawe au matusi (huo ulikuwa utoto) lakini nilipokuwa kidogo hiyo chuki haikuisha na hawakunifanya lolote wala kuwadhuru watu wangu wa karibu bali ilikuwa ni abhor
Sasa nikiwa sec alikuja bundi akatua juu ya mti mkubwa sana shuleni mimi na wenzangu tukaanza kumtupia mawe yule Bundi na hakuondoka kwenye mti mpaka umauti ulipomkuta
Asubuhi na mapema tulipoamka kuna mzee wa kisukuma alikuja na kuongea kisukuma sana bahati kulikuwa na wasukuma ambao wakawa wakalimani na kusema mzee ameapa waliomuuwa mtoto wake wataona
Alimchukua ndege wake na kumfunga kwenye baiskeli
Nikamwambia yule mwanangu zo amwambie atume mwingine tena TUNAUWA
Mzee aliniangalia na mimi sikumjali kabisa
Nimezaliwa bila woga na ninaamini kama hukuandikiwa kupatwa kitu hakikupati
Natamani kwenda kwenye haunted house na kulala humo nione hizo roho zinatapatapa nizichape zitulie
Sent from my iPhone using Tapatalk

Endelea na moyo huo huu,lakini muamini Mungu,kwa kuwa hata sasa hiyo imani yako ndogo uliyo nayo ndiyo inayokusaidia.Nilipokuwa mdogo nilitokea kuwachukia sana hawa so called wachawi