Kuna aina ya watu hawarogeki

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,640
729,672
Haraka sana mawazo yako yatakutuma kwa walokole, waliojizindika, wasioamini katika uchawi ama ambao kiasili tu miili yao iko hivyo
Singuzumzii makundi hayo asilani...nazungumzia watu tofauti kabisa
Mchawi hana tabia za fisi, mchawi ana tabia za simba na chui....fisi hula mizoga, makombo,wanyama dhoofu na mara chache sana wanyama wenye nguvu zao
Tofauti na simba ama chui wao hupenda kula kitu fresh, mnyama ambaye yuko fit amfukuze ama amvizie amkabe amuue amle...ni mara chache mno kuwakuta hawa wanakula mizoga
Mchawi harogi teja,mchawi harogi mgonjwa, mchawi harogi mlemavu wala mtu yoyote mwenye kasoro kubwa kimaumbile....mchawi hupendelea kufanya mambo yake kwenye mwili uliofit mwili wenye afya, mwili wenye nguvu!

Kwanini huwa hivi!?
Mchawi kazi yake ni kuharibu kutesa na kuumiza...kwahiyo hawezi kuteza kilichoko kwenye mateso tayari, hawezi kuharibu kilichokwisha anza kuharibika nknk
Ukiona mchawi anatumia vitu hivyo si kwa nia ya kuharibu wala kuangamiza wala kutesa tena bali ni kwa nia ya kupata malighafi
Ndio maana ukitaka kumkomoa mtu unayehisi ni mchawi mwekee ama mpe kitu chenye mapungufu
Kama ni nguo ichane kipande
Kama ni ndala nk kata kipande
Kama ni noti nyofoa kipande nknk .....atakununia mpaka utoke upele
 
ha haahaha hatari
Njoo nikuroge...

upload_2017-5-30_16-13-31.jpeg
 
Hata hawa??

upload_2017-5-30_16-14-7.jpeg
 
Back
Top Bottom