Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,435
- 23,091
Kutorogeka kuna tegemea imani yako,what you believe in.Sasa hawaja kuroga because of your faith au kwa sababu you are lucky hawajakupitia?Hata Mimi sirogeki
Kutorogeka kuna tegemea imani yako,what you believe in.Sasa hawaja kuroga because of your faith au kwa sababu you are lucky hawajakupitia?Hata Mimi sirogeki
Endelea na moyo huo huu,lakini muamini Mungu,kwa kuwa hata sasa hiyo imani yako ndogo uliyo nayo ndiyo inayokusaidia.
Asante sana
Nafikiri Imani ndio inanifanya niwe jasiri hivi
Namwamini Mungu sana na nina shukuru kwa kila kitu
Sent from my iPhone using Tapatalk

Kaka mkubwa naona wairaq wamekinukisha... Bado nina mpango wa kufika kule mahali kama unakumbuka
Jr![]()
Kuroga chuma!? Ili kipatikane nini hasa?Hakuna kiumbe asierogeka,kwa taarifa yako hata chuma kinarogeka
Sio chuma kama chuma mkuu,chuma kilicho ongezewa thamani na kinarogwa ili kisiweze kutumika kwa kusudio lengwa!