Uthubutu wa kutisha na kuogofya wa hawa watu una backup ya kitengo?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,867
Kama nyakazi hizo nchi ilipokuwa inagawanwa na makoloni kila mtu akijihudumia kipande chake.. Wakakomba rasilimali zetu za kutosha sana Halafu kikaja kipindi cha wakuu wa nchi.

Wa pili akauza/akagawa wanyama na mapande ya mbuga.. Waliojaribu kuhoji wakaumizwa, wakapotezwa na wengine wakauliwa live.

Wa tatu akauza/akagawa mashirika yote ya uma na madini yetu yote! Kwenye hii michakato bado watu waliojaribu kuhoji wakaumizwa, wakateswa na kubambikiwa kesi kubwa kubwa

Wa nne gas.. Huyu naye akafanya kufuru zake kwenye hiyo maliasili, kauza yote.. Naye kwenye huo mchakato akaumiza watu, akatesa watu, akapoteza watu kisa gesi!

Was tano akakosa cha kuuza/ kugawa lakini naye akafanya mabaya yake ya kutosha sana.. Kama ni kupoteza, kubambikia kesi, kutesa na kuua anaweza kuwa anaongoza!

Alipokuja wa sita... Wananchi wakiwa sasa wamechoka na madhila yote ya watangulizi wake! Kukawa na mwamko mpya! Mpya hasa .. Mwamko wenye uthubutu wa kutisha!

Kitengo hufanya kazi kwa maslahi mapana ya taifa. Kitengo kupitia watendaji wake kinaweza kufanikisha dili yoyote iwe kubwa ama ndogo na watu wakagawana mzigo wakasepa lakini shazi likakuangukia wewe! Na kwa jinsi walivyo smart hutaweza kuwataja popote maana hawaachi alama wala ushahidi!

Hakuna kitu kinafanyika kwenye serikali yoyote duniani bila kitengo kufahamu na kwa namna moja kuruhusu jambo hilo lifanyike..!wako mbele ya muda kwenye kila kitu! Jambo linalohusu maslahi mapana ya taifa likifanyika na kitengo kukaa kimya.. Ni uamuzi tu kulingana na mahitaji ya nyakati

La bandari za Tanganyika, ni hiyo mikataba mingine 32/37 .. Kitengo kiko well informed Na inawezekana kabisa kilionya lakini pengine kikapuuzwa.. Ama hakikusikilizwa..! Wewe ukijua hivi wenzako wanajua vile!
Ukikipuuza kitengo kitaenda nawe vile utakavyo na mtakula pamoja, kila mtu kwa urefu wa kamba yake.. Lakini hakitakuacha salama!

Kuvujishwa kwa mkataba mmoja kati ya hiyo32+ sio kazi ya mtu mmoja wa kawaida ni kazi iliyofanywa na taasisi.. Na kuvujishwa kwa huo mmoja ilikuwa ni warning ili watu wajirudi wasiendelee na ujinga wao! Hapa walipaswa kustuka kama si kugutuka! Kwamba stop this nonsense!

Hili jambo limechezwa kwa ufundi mkubwa sana.. Imetengenezwa network ya kuukomesha huu ujinga.. Nchi imegawiwa mapande na kila pande limepewa majukumu yake.. Mikataba mingine yote nakala zake zimeshafika mikononi mwa ambao hazikutakiwa ziwafikie hata kwa gharama ya kumwaga damu

Sasa kuna haya mapande yanayoshambulia kwa ustadi na weledi wa aina yake.. Ukiyaweka kwenye taswira na kuyatengenezea filamu utapata filamu moja very interesting

Pande la siasa.. Wakapewa upinzani
Pande la kiimani wakapewa TEC
Pande la wanaharakati Mdude na backup zake
Pande la sheria Mwambukusi na wanasheria wengine
Pande la wanaharakati.. Hapa wako mchanganyiko
Pande la wasomi.. Dr. Slaa na backup zake
Pande la wasomi kina mzee Shivji na wote waliojitokeza
Pande la wazee(wa chama) wanajulikana wamejitokeza wameongea

Halafu mapande yote hayo yakaundiwa mapande kinzani ili kuweka uwiano wa wanaopinga na wasiopinga

Hii framework ni kitengo pekee ndio chenye uwezo wa kuitengeneza.. Na imetengenezwa kwa namna ambayo wale wanaokubali huo upuuzi wanapewa hoja nyepesi za kutetea ili washindwe vibaya!
Kwahiyo this time nchi imegawiwa katika mapande kwa ajili ya ukombozi.. Uthubutu wa sauti za wale wanaoongea .. Sio uthubutu wa kawaida ni uthubutu wenye backup ya kitengo kwa maslahi mapana ya taifa...

Ina maana bi mkubwa kashindwa kabisa kuliona hili?
Ukimuona kima mjini....?
55ccc8e03197faebf5720b20dc96b9d7.jpg

Leo serikali imepewa ultimatum ya siku 30 na pia hicho ni kipindi cha kumalizia ratiba ya kusomwa waraka wa TEC! Je hekima itachukua mkondo ama kutunushiana misuli kutaendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan mkuu unahoja lkn utoto unakusumbua

Yaani kwa kuwa unamchukia magufuli lkn alikuwa mzalendo hajauza nchi ukaona umtukane tu

Ccm inapenda watu km nyie kwasababu upeo wenu wa kufikiri haiwaumizi kichwa
Ukishindwa kuelewa kilichoandikwa usiogope kuuliza utaeleweshwa kwa weledi ili ujinga ukutoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nyakazi hizo nchi ilipokuwa inagawanwa na makoloni kila mtu akijihudumia kipande chake.. Wakakomba rasilimali zetu za kutosha sana Halafu kikaja kipindi cha wakuu wa nchi
Wa pili akauza/akagawa wanyama na mapande ya mbuga.. Waliojaribu kuhoji wakaumizwa, wakapotezwa na wengine wakauliwa live
Wa tatu akauza/akagawa mashirika yote ya uma na madini yetu yote! Kwenye hii michakato bado watu waliojaribu kuhoji wakaumizwa, wakateswa na kubambikiwa kesi kubwa kubwa

Wa nne gas.. Huyu naye akafanya kufuru zake kwenye hiyo maliasili, kauza yote.. Naye kwenye huo mchakato akaumiza watu, akatesa watu, akapoteza watu kisa gesi!

Was tano akakosa cha kuuza/ kugawa lakini naye akafanya mabaya yake ya kutosha sana.. Kama ni kupoteza, kubambikia kesi, kutesa na kuua anaweza kuwa anaongoza!

Alipokuja wa sita... Wananchi wakiwa sasa wamechoka na madhila yote ya watangulizi wake! Kukawa na mwamko mpya! Mpya hasa .. Mwamko wenye uthubutu wa kutisha!

Kitengo hufanya kazi kwa maslahi mapana ya taifa.... Kitengo kupitia watendaji wake kinaweza kufanikisha dili yoyote iwe kubwa ama ndogo na watu wakagawana mzigo wakasepa lakini shazi likakuangukia wewe! Na kwa jinsi walivyo smart hutaweza kuwataja popote maana hawaachi alama wala ushahidi!

Hakuna kitu kinafanyika kwenye serikali yoyote duniani bila kitengo kufahamu na kwa namna moja kuruhusu jambo hilo lifanyike..!wako mbele ya muda kwenye kila kitu! Jambo linalohusu maslahi mapana ya taifa likifanyika na kitengo kukaa kimya.. Ni uamuzi tu kulingana na mahitaji ya nyakati

La bandari za Tanganyika, ni hiyo mikataba mingine 32/37 .. Kitengo kiko well informed Na inawezekana kabisa kilionya lakini pengine kikapuuzwa.. Ama hakikusikilizwa..! Wewe ukijua hivi wenzako wanajua vile!
Ukikipuuza kitengo kitaenda nawe vile utakavyo na mtakula pamoja, kila mtu kwa urefu wa kamba yake.. Lakini hakitakuacha salama!

Kuvujishwa kwa mkataba mmoja kati ya hiyo32+ sio kazi ya mtu mmoja wa kawaida ni kazi iliyofanywa na taasisi.. Na kuvujishwa kwa huo mmoja ilikuwa ni warning ili watu wajirudi wasiendelee na ujinga wao! Hapa walipaswa kustuka kama si kugutuka! Kwamba stop this nonsense!

Hili jambo limechezwa kwa ufundi mkubwa sana.. Imetengenezwa network ya kuukomesha huu ujinga.. Nchi imegawiwa mapande na kila pande limepewa majukumu yake.. Mikataba mingine yote nakala zake zimeshafika mikononi mwa ambao hazikutakiwa ziwafikie hata kwa gharama ya kumwaga damu

Sasa kuna haya mapande yanayoshambulia kwa ustadi na weledi wa aina yake.. Ukiyaweka kwenye taswira na kuyatengenezea filamu utapata filamu moja very interesting

Pande la siasa.. Wakapewa upinzani
Pande la kiimani wakapewa TEC
Pande la wanaharakati Mdude na backup zake
Pande la sheria Mwambukusi na wanasheria wengine
Pande la wanaharakati.. Hapa wako mchanganyiko
Pande la wasomi.. Dr. Slaa na backup zake
Pande la wasomi kina mzee Shivji na wote waliojitokeza
Pande la wazee(wa chama) wanajulikana wamejitokeza wameongea

Halafu mapande yote hayo yakaundiwa mapande kinzani ili kuweka uwiano wa wanaopinga na wasiopinga

Hii framework ni kitengo pekee ndio chenye uwezo wa kuitengeneza.. Na imetengenezwa kwa namna ambayo wale wanaokubali huo upuuzi wanapewa hoja nyepesi za kutetea ili washindwe vibaya!
Kwahiyo this time nchi imegawiwa katika mapande kwa ajili ya ukombozi.. Uthubutu wa sauti za wale wanaoongea .. Sio uthubutu wa kawaida ni uthubutu wenye backup ya kitengo kwa maslahi mapana ya taifa...

Ina maana bi mkubwa kashindwa kabisa kuliona hili?
Ukimuona kima mjini....?View attachment 2739775

Leo serikali imepewa ultimatum ya siku 30 na pia hicho ni kipindi cha kumalizia ratiba ya kusomwa waraka wa TEC! Je hekima itachukua mkondo ama kutunushiana misuli kutaendelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumbili hakai mjini bila kuketwa taifa hili la Tanganyika ni letu wazanzibar ni matope tupu
 
Magufuli kuhusu kuua watu anasingiziwa sana, Bila Magufuli mpaka Leo kibiti, rufiki na mkuranga ingekuwa himaya ya magaidi
Brother watu waliuliwa kwa makumi.. Si kila kitu ni cha kuandikwa hapa kwa afya ya jukwaa.. Lakini tunapoandika hatuandiki uzushi
Unajua ni kwanini Makonda alipigwa ban ya kuingia US? unakumbuka kesi ya Sabaya na utetezi wake? Nimekutajia hao kwakuwa walithibithishwa na mamlaka kutenda udhalimu mkubwa kipindi cha jiwe

Mkuu hio hapana Magufuli hakufanya hayo labda wahuni walifanya kivyao, mauaji ni ya kukomboa taifa tu yale ya Mkiru triangle
 
Back
Top Bottom