Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Tatizo Sasa ndo kujua anaekupa mapenzi ya kweli na anaegiza apate hizo dharau ndogo ndogo ndo hujui...
Maana mtu anaetaka dharau anaupigwa mwingi zeaworld waingie mazoezini
Mwanamke akipenda hakupi wakati mgumu kuwa nae hata kidogo. Tena yupo radhi hata avunje ratiba zake flani ili tu muwe wote as long as umeonesha unahitaji muwe wote. Na hata kama uko apeche siku hio kwake sio tatizo kama ana kibunda anameza bill zote yani anakuwa purely submissive and empathetic.
Mwanamke kama huyo hata ukimpa hela unajua nampa mtu ambaye kweli ananithamini na ana upendo haswa.

Ila ukishaanza kusikia habari za ntumie nauli, sitakuwa na muda kabisa this week. Sina bundle la whatsapp. Huko mbali sana sitaweza kuja kwa kweli. Sina story hata. Jua kabisa hapo hamna stable connection.

Vijana wakiona hivi ndio wanaamua kugawanya kwa mbili (kurahisisha). Paah katuma hela inaliwa anatuma tena inaliwa yeye focus apewe mzigo tu. Atatumia hata milioni halafu akishakula mzigo kwa kuwa anajua kabisa haikuwa haki yake anakuwa hamu ndio imeishia pale. No progress nikuachana tu.
 
Unajua nini
Wakati Wa ujana inakua hivi kiuhalisia...
Wewe unatafutwa na Mimi natafuta....hahah hapo ndo shida.
Yaani unakuta nae mwanamke anatafuta namna ya kuwa na ela kupitia papa ili akidhi mahitaji yake..
Na wewe unajimake kutengeneza maisha yako..
Manakutana wote mpo hivyo
Tofauti Inakuja pale wewe unahitaji utamu WA dhati....yeye anaitumia nafasi hiyo kupiga maokoto maana mda wote yupo vitani....anahitaj kumake..Kwa namna yoyote Ile.
Ila mizani inakua haibalance mmoja akiwa na ela mwingine Hana
Mkikutana wote ela mnazo....dah mna enjoy sana life...
Bahati mbaya ela mnakuaj kuwa nazo tayari harakati za mapenzi zimepumgua....
Dah
 
Ni vizuri kuwa na mpenzi unaempenda Kwa dhati, unless otherwise ni mateso matupu!
 
Unajua nini
Wakati Wa ujana inakua hivi kiuhalisia...
Wewe unatafutwa na Mimi natafuta....hahah hapo ndo shida.
Yaani unakuta nae mwanamke anatafuta namna ya kuwa na ela kupitia papa ili akidhi mahitaji yake..
Na wewe unajimake kutengeneza maisha yako..
Manakutana wote mpo hivyo
Tofauti Inakuja pale wewe unahitaji utamu WA dhati....yeye anaitumia nafasi hiyo kupiga maokoto maana mda wote yupo vitani....anahitaj kumake..Kwa namna yoyote Ile.
Ila mizani inakua haibalance mmoja akiwa na ela mwingine Hana
Mkikutana wote ela mnazo....dah mna enjoy sana life...
Bahati mbaya ela mnakuaj kuwa nazo tayari harakati za mapenzi zimepumgua....
Dah
Hapo ndio shida ilipo. Ukishaweka mbunye kama chanzo cha mapato Equation inakuwa ishavurugika. Ni sawa na 0 divide by other integers. Huwezi kugawanya 0 kwa 1. Ni hamna kitu tu.

Balance nzuri ni wote muwe hamna njaa. Wanaume mara nyingi vyanzo vipo ila kwenu ndio shida.
 
Ngoja niwe against kidogo hapa, Binafsi sitoacha kusema ni raha iliyoje kupewa Hela na mwanaume wako, napenda na nafurahi sana.But kusema unatafuta pesa Kwa kutumia papa ni big NO,ukiishi Kwa kusubiri upewe Hela ya mwanaume ndio uishi utakuwa mtumwa siku zote,hutokaa uinjoy maisha ya mapenzi maana itabidi utembee na mtu hata humpendi,itabidi ujichekeshe wakati deep inside huna furaha kisa upate Hela,ufanye mapenzi huku moyoni unaugulia Kwa majuto, kiukweli wadada tujikomboe tu kiuchumi hizo pesa za wapenzi ziwe motisha sio ndio uti wa mgongo wa maisha yetu...Yaani iwe akiwepo sawa,asipokuwepo sawa unaweza kukidhi mahitaji Yako.......Ila pesa ya mpenzi ni tamu narudia tena😁
 
Mkiwa wote mko vizuri maisha yanakuwa balanced sana,sio lazima muwe ma bakheresa ila mnaweza kutatua matatizo pamoja hiyo safi...mizani isielemee upande mmoja
 
Ngoja niwe against kidogo hapa, Binafsi sitoacha kusema ni raha iliyoje kupewa Hela na mwanaume wako, napenda na nafurahi sana.But kusema unatafuta pesa Kwa kutumia papa ni big NO,ukiishi Kwa kusubiri upewe Hela ya mwanaume ndio uishi utakuwa mtumwa siku zote,hutokaa uinjoy maisha ya mapenzi maana itabidi utembee na mtu hata humpendi,itabidi ujichekeshe wakati deep inside huna furaha kisa upate Hela,ufanye mapenzi huku moyoni unaugulia Kwa majuto, kiukweli wadada tujikomboe tu kiuchumi hizo pesa za wapenzi ziwe motisha sio ndio uti wa mgongo wa maisha yetu...Yaani iwe akiwepo sawa,asipokuwepo sawa unaweza kukidhi mahitaji Yako.......Ila pesa ya mpenzi ni tamu narudia tena😁
Tamu sanaa ila akupee bila kumuomba. Hio ndio inakuwa faraja zaidi na kujua really jamaa anajali. 🤣 Sio kumjaza ma invoice kilazima yani hadi inafikia mtu anaona hapa nimefunga ndoa na mkopo wa kikoba
 
Back
Top Bottom