Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,276
Wanatuona maandazi sanaLazma tuwaeleze ukweli wadogo zetu
Wanatuona maandazi sanaLazma tuwaeleze ukweli wadogo zetu
Na mama kijijini anameza shoka!😁😁Sijasema watu wasipewe,ila mnaombana namba Leo unaombwa na kodi leo
🤣🤣🤣🤣 Tatizo hamjiongezi nyie,Tusipowaomba mnajikausha sana,au ndio mnakuwa hamjali?Tamu sanaa ila akupee bila kumuomba. Hio ndio inakuwa faraja zaidi na kujua really jamaa anajali. 🤣 Sio kumjaza ma invoice kilazima yani hadi inafikia mtu anaona hapa nimefunga ndoa na mkopo wa kikoba
Amen.Nakubaliana nawe, ukweli sio kwa wanawake tu sote tunajua utamu na umuhimu wa hela kwenye maisha yetu.
Ngoja,watajifunza tu ngoja kwanza wapate experienceYeah sasa muelekeze wadogo zenu kuwa hela inatafutwa hata bila kuvua chupi. Ikifikia swala la kuvua chupi iwe kwa upendo tu sio njaa.
Tunatakiwa tuombe baada ya muda gani?Sijasema watu wasipewe,ila mnaombana namba Leo unaombwa na kodi leo
Baada ya kuliwa mara kadhaaTunatakiwa tuombe baada ya muda gani?
😳😳😳😳😳😳😳Baada ya kuliwa mara kadhaa
Unakuwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu kimoyo moyo unavizia upewe hela wtf, kupeana hela kunakuja naturally kwenye mahusiano as a part of kusaidiana, mbona sisi wanaume tukiwa kwenye mahusiano na nyie, moyoni hatuwazagi hivyo lyk kuvizia tupewe hela na wadada Joannah🤣🤣🤣🤣 Tatizo hamjiongezi nyie,Tusipowaomba mnajikausha sana,au ndio mnakuwa hamjali?
Hatuvizii, Mapenzi yana mambo mengi,kucheka,kupiga story,kushauriana,kulana,kutunzana...Sasa unataka nani akutunzie mpenzi wako?Unakuwa kwenye mahusiano na mwanaume halafu kimoyo moyo unavizia upewe hela wtf, kupeana hela kunakuja naturally kwenye mahusiano as a part of kusaidiana, mbona sisi wanaume tukiwa kwenye mahusiano na nyie, moyoni hatuwazagi hivyo lyk kuvizia tupewe hela na wadada Joannah
Kwani, huyo mdada anayetafuta hela akidhi mahitaji kupitia papa, anakuwa hana hisia za kumpenda mwanaume? Kwa kipindi hicho ni kila mwanaume anaemuona/anaetongozwa naye anamchaji hela ili atoe papa?Unajua nini
Wakati Wa ujana inakua hivi kiuhalisia...
Wewe unatafutwa na Mimi natafuta....hahah hapo ndo shida.
Yaani unakuta nae mwanamke anatafuta namna ya kuwa na ela kupitia papa ili akidhi mahitaji yake..
Na wewe unajimake kutengeneza maisha yako..
Manakutana wote mpo hivyo
Tofauti Inakuja pale wewe unahitaji utamu WA dhati....yeye anaitumia nafasi hiyo kupiga maokoto maana mda wote yupo vitani....anahitaj kumake..Kwa namna yoyote Ile.
Ila mizani inakua haibalance mmoja akiwa na ela mwingine Hana
Mkikutana wote ela mnazo....dah mna enjoy sana life...
Bahati mbaya ela mnakuaj kuwa nazo tayari harakati za mapenzi zimepumgua....
Dah
Sijakataa kumtunza mpenzi wangu, ila nina swali, wakati mimi namtunza huyo mdada (nampa hela), huyo mdada atakua ananitunza mimi kwa kipi, tuanze na hapo JoannahHatuvizii, Mapenzi yana mambo mengi,kucheka,kupiga story,kushauriana,kulana,kutunzana...Sasa unataka nani akutunzie mpenzi wako?
Hiyo hapana....mwanzoni ndio fresh penzi bado la motooooBaada ya kuliwa mara kadhaa
Sasa mimi hilo sina uzoefu maana mimi sio mnunuajiHiyo hapana....mwanzoni ndio fresh penzi bado la motoooo
Halafu kushangaa post zangu sipendi ujue😅😅😅Hiyo hapana....mwanzoni ndio fresh penzi bado la motoooo
Mna lawama sana,siku hizi tukiomba Hela wapenzi zetu mnakimbilia kusema ni biashara jamani mbona babu zenu walitunza bibi zenu bila lawama?Sasa mimi hilo sina uzoefi maana mimi sio mnunuaji
🤣🤣🤣🤣Zinanishangaza sasaHalafu kushangaa post zangu sipendi ujue😅😅😅