Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Raha hio umpe mtu ambaye anakupa mapenzi toka rohoni. Ila kwa wale waigizaji hamna raha zaidi ya kuhisi unadangwa tu. Worst scenario
Tatizo Sasa ndo kujua anaekupa mapenzi ya kweli na anaegiza apate hizo dharau ndogo ndogo ndo hujui...
Maana mtu anaetaka dharau anaupigwa mwingi zeaworld waingie mazoezini
 
Haijawahi kuwa furaha kwenye kumpa hela mwanamke ambaye sio mke wako ni upwiru tu

Ukiona unatumia nguvu nyingi sana kumpea pesa mara kwa mara manzi au kila anapokuomba hujui kusema NO

Lengo uumshawishi aendelee kuwa kwenye uhusiano na wewe ni ishara kuwa mwanamume ni insecure

Hili ndilo kosa kubwa wanaolifanya vijana wa siku hizi.
Vijana wanaona ufahari kuonesha udhaifu na wanawake wengi wanipenda sana hilo kundi.

I will never buy pussies cause i dont freak with hoes!!! Na nikiona tu dalili kuwa natumika hata hio pussy naweza nikaicha iende. Raha ni kuwa na connection na mwanamke real one sio ya kuunga unga na hongo.
 
Back
Top Bottom