Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Kumpa mwanamke pesa ni kumdharau

Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na nivizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.

Mwanamke mnafahamiana Leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi. Simaanishi msiwape,ila msome mwanamke umjue
Wewe tukupe au tusikupe?
 
Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na ni vizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.

Mwanamke mnafahamiana leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi. Simaanishi msiwape, ila msome mwanamke umjue
Naanza na wewe nimekuelewa
 
Dunia ya leo, bora yule anayekuomba hela kieleweke kuliko anayetumia mapenzi huku mwisho wa siku anataka pesa yako tuu, mimi nakupa raha na nakuambia nimeoa na sihitaji mapenzi, naweka clear ukinipa mzigo na mimi nakupa ABCD....hakuna longolongo na wanawake wengi wanapenda, akikataa mnaachana kwa roho nzuri kabisa
 
Kuna raha fulani hivi unaioata unapompa hela , na ufahari fulani hivi usioelezeka
Haijawahi kuwa furaha kwenye kumpa hela mwanamke ambaye sio mke wako ni upwiru tu

Ukiona unatumia nguvu nyingi sana kumpea pesa mara kwa mara manzi au kila anapokuomba hujui kusema NO

Lengo uumshawishi aendelee kuwa kwenye uhusiano na wewe ni ishara kuwa mwanamume ni insecure

Hili ndilo kosa kubwa wanaolifanya vijana wa siku hizi.
 
Back
Top Bottom