Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,817
- 55,644
😂 😂 😂Mi napenda hiyo dharau...
Jamani anaetaka kunidharau aje
😂 😂 😂Mi napenda hiyo dharau...
Jamani anaetaka kunidharau aje
Potezea nawe mnoko sana😂😂🤣🤣🤣🤣Zinanishangaza sasa
🤣Nitavaa miwani ya mbaoPotezea nawe mnoko sana😂😂
Mna lawama sana,siku hizi tukiomba Hela wapenzi zetu mnakimbilia kusema ni biashara jamani mbona babu zenu walitunza bibi zenu bila lawama?
Falla sana wewe😂🤣Nitavaa miwani ya mbao
Wewe ni muhesebu visa!na muhesabu visa haliwezi penzi
Aisee una demand vitu vingi sana kutoka Kwa binadamu mwenzio,ye mwenyewe hawezi kujifanyia yote hayo ataweza kukufanyia wewe?Unaniita muhesabu Visa probably kwasababu Wewe just like 90% of other women hamuwekezi chochote kwenye mahusiano.
Love is always about give and take from both parties, hata Mungu ana kila kitu, ila unampa sadaka, sio amri tu, its a symbol of love to your Creator pia.
Sasa mfano mimi nina kipato kizuri nakuhudumia, kila mwezi hukosi vilaki kadhaa toka kwangu achilia mbali vizawadi ninavyokupa sasa wewe utanitunza vipi
1) Unaweza nipikia msosi mtamu? Statistically wadada wengi hampendi kupika na hampendi kupikia wapenzi wenu
2) Kunifulia na kusafisha gheto langu, make sure nakua smart kimavazi.
3) Can u make me a better man kiushauri na kifikra baada ya Mimi kutoka kwenye stress za kazi? Can we have friendly Convo Stories tukacheka na kufurahia maisha, sio mtu anakua boring hata Stories hana.
4) Unaweza ukaniheshimu na kupenda ndugu na marafiki zangu kama ninavowapenda?
Vyote nlivotaja hapo juu viko achievable, na mwanamke yoyote akiamua anaweza kufanya, ila sasa hamtaki.
Ndo maana tunawaulizaga apart from pussy what do u bring kwenye table, Ivo vitu vinne hapo juu, ndio wanaume tunataka kusikia majibu yake. Joannah
Ndio maana yake nn udharauliwe ili ugunduzi gani ufanyikeUjaelewa bado?
🤣🤣🤣🤒kazi ninayo
yelow subhai nataka ile kitu inamumesa mwenzake! yoo ongaraiMi napenda hiyo dharau...
Jamani anaetaka kunidharau aje
hivi wewe mbona kila nikitaka kukurepply nashindwa wakat wengine nawajibu fresh tuuu?yani mpaka niandike mimi, kama hivi
KIVIP?hivi wewe mbona kila nikitaka kukurepply nashindwa wakat wengine nawajibu fresh tuuu?
KIVP ETI?hivi wewe mbona kila nikitaka kukurepply nashindwa wakat wengine nawajibu fresh tuuu?
Bibi zenu walikuwa wako composed. Unatunza kitu bikra unakula mzigo 0km kabisa hata ukiumwagia hela haina mbambamba. Hawaombi maana sio adabu kuomba omba.Mna lawama sana,siku hizi tukiomba Hela wapenzi zetu mnakimbilia kusema ni biashara jamani mbona babu zenu walitunza bibi zenu bila lawama?
😄 Hahah ukiona haupewi hela ujue hujiongezi. Ongeza ufundi wa hubani utashangaa muhuni kauza nyumba ya urithi mnagawana hela 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tatizo hamjiongezi nyie,Tusipowaomba mnajikausha sana,au ndio mnakuwa hamjali?
LEGENDARY 😎Baada ya kuliwa mara kadhaa
Kwahio hutaki kuliwa au😳😳😳😳😳😳😳
Haikubalikiiii
🤣🤣🤣🤣Kumbe hiyo ndio mbinu,Asante Kwa kuniibia Siri ya kambi😄 Hahah ukiona haupewi hela ujue hujiongezi. Ongeza ufundi wa hubani utashangaa muhuni kauza nyumba ya urithi mnagawana hela 🤣🤣🤣
Mi nshakusoma sistee niaje sasa.Salamu,Pesa ni nzuri kwa mwanamke. Na ni vizuri kumtunza mwanamke. Kama mwanaume unatongoza kwa kuanza kutoa hela ili ukubaliwe hayo sio mapenzi ya kweli.
Mwanamke mnafahamiana leo na anaanza mizinga jua huyo hakupendi. Simaanishi msiwape, ila msome mwanamke umjue
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Eeh sasa we unalala kama gogo halafu unategemea ufadhili wa maokoto. Hutoboi!🤣🤣🤣🤣Kumbe hiyo ndio mbinu,Asante Kwa kuniibia Siri ya kambi