Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,825
- 113,411
Nakupata wapi kwa madharau ?Naomba unidharau
Nakupata wapi kwa madharau ?Naomba unidharau
Pesa ndio akili.Tuliambiwa, tuishi nao kwa akili.
Baada ya hapo, sijaona popote penye imetajwa pesa....🤔
Hamshindwagi mbele ya pesa 😂 eti pesa ndio akiliPesa ndio akili.
Si ndio😂😂Hamshindwagi mbele ya pesa 😂 eti pesa ndio akili
Nawaaminia wanawake, mnanishaurije niwekeze pesa au upendo wenye maneno mengi?Si ndio😂😂
Hivi siku pesa ikikosa thamani kama zamani itakuwajeNyie tupatieni pesa, habari za kutusemea uongo hatutaki.
Achana na mapenzi, tafuta hela.Nawaaminia wanawake, mnanishaurije niwekeze pesa au upendo wenye maneno mengi?
Tutakuwa kama zamani.Hivi siku pesa ikikosa thamani kama zamani itakuwaje
Real love itarudi sio?Tutakuwa kama zamani.
Kama hela zipo tayari?Achana na mapenzi, tafuta hela.
Hata sasa ipo.Real love itarudi sio?
Wekeza zaidi.Kama hela zipo tayari?
Sawa nitajitahidi kwenye hiloWekeza zaidi.
Si ndio imeshikwa na mhimili wa hela.Hata sasa ipo.
Kuhonga ni dalili ya umaskini!Wanaume tutengeneze pesa tuwe wanaume wenye high value
Mwanamume wa high value ni yupi?
Ni yule amejiwekeza ana kibunda na good life hivi kwamba hahitaji kutongoza au atoe pesa amvue chupi manzi
Mademu wenyewe wanajipendekeza kwake hata bila ya yeye kutoa mkwanja, life lake tu tayari kivutio tosha kwa warembo
Kuhonga ni dalili ya umasikini
Hapana, lipo linajitegemea. Pesa inanogesha tu.Si ndio imeshikwa na mhimili wa hela.