Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,447
- 8,720
We ndo upo Kama Mimi sema ni kwann ujifiche fche chuma yako itakua inakasoro kidogo au na we ni mtumiaji wa alcoholmm hua sitanglizi pua mbele..natanglizana na malori ..sichomoki main road kama road ipo nyeupe😎
Kuna muda ni kweli mafuta yanakua ayapo ya kutosha kuwafikisha point A, so mi sijaona kosa lake hapoNna shost yangu ana gari tulikua tunasoma wote... Sasa siku moja kuna mwanafunz alibanwa na pumu kumfata kumuomba awapeleke akadai ela ya mafuta (wakati huo mgonjwa hana hata fahamu ) lkn alisubiri mpaka alipopewa 10000 ya mafuta ndo akaanza safari.... Yaan nlijikuta naona aibuu nka jiambia Mungu nsaidie nisiwe ivi
Kuna gari na takatakaUkifanikiwa kumiliki GARI kweli ww umeuaga umasikini ila kama unamiliki gari kisha ukaonekana unazo aisee toka kwenye hilo kundi la watu ......kuna tofauti ya GARI na gari(if u know,u know,) NARUDIA kuna tofaut ya GARI na gari"" range rover /passo
Kweli kabisa mkuuFanya unachopenda mkuu maisha yenyewe mafupi
We ndo upo Kama Mimi sema ni kwann ujifiche fche chuma yako itakua inakasoro kidogo au na we ni mtumiaji wa alcohol
mimi natamani sana gari ila sina uwezo tu, hata heshima unapata ukiwa na gari aiseeNatabiri kila atakayechangia hii thread atasema ana gari!wakati wengine ni wazee wa ngondi a.k.a guu vumbi
acha kukufurumimi natamani sana gari ila sina uwezo tu, hata heshima unapata ukiwa na gari aisee
Huyu atakuwa anakaa kibamba bila shaka mishe k.koo, Kms zote hizo mzee si kama unasafiri aisee.ni kweli aisee 66 ndef aisee
Huyu atakuwa anakaa kibamba bila shaka mishe k.koo, Kms zote hizo mzee si kama unasafiri aisee.
Haaahaaa....kwanini unafanya hivo?mimi ninalificha mbali alafu natembea na kakopo kana vumbi,nikishuka nanyunyizia kiatu changu vumbi alafu ndio naenda ofisini
Unaitwa boss...mtaani kuna vituko sanaUkiwa na gari hadi vizee vya mtaani vinakuheshimu...
Gari ya anasa ndio chanzo cha umaskini, kabla hujanunua gari ni lazma utengeneze chanzo cha mapato ya kuliendesha, maana litahitaji elfu 10-30 kwa siku kulingana na condition yake na ukubwa wa engine.Ukiwa na chanzo kimoja cha kipato ndio utegemee kuendeshea gari hakyanani hutakaa uinjoy, ipo siku utalipaki tu unless otherwise uwe kibopa.Vile vile gari ni chanzo cha umaskini mkuu
Ovesly, kujenga Dar nako matatizo sana sahivi. Lazma ujenge 30-40 kms toka unapofanyia kazi zako na hapo ndipo gari inapokupiga vibaya, labda uishi kwenye passo!😀😀 au bgmy!sijajuaga bgmy had posta km ngapi!! ila pale paref zaid
UCHAWI WA MZUNGUGari bhana.
Wanaomiliki magari wanaaminika sana kwamba wana hela, hawana dhiki.
Mtu mwenye gari anaeleweka haraka sana na anaaminika mno kuliko wewe unayetembelea ngondi ama Toyo.
Gari ni kama shetani fulani.
Gari huficha umaskini kwa kiasi kikubwa sana.
Ovesly, kujenga Dar nako matatizo sana sahivi. Lazma ujenge 30-40 kms toka unapofanyia kazi zako na hapo ndipo gari inapokupiga vibaya, labda uishi kwenye passo!
acha kukufuru