Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
hahahahahahahah its true my dear... inaongeza hadhi....tena sana aisee!ila umenichekeshaabora ungewaambia mbovu sababu zingine kuzielewa mpaka uwe mfuasi wa ccm.
mimi nkitaka kwenda kukopa gesi ama sukari dukani kwa mangi naendaga na gari yaani hachomoi kirahisi. gari sometimes inaongeza heshma ata bar husumbuliwi sumbuliwi kulipa Bill