Unamuogopa nani?Nitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Unamuogopa nani?
Sheria ya ajira na mahusiano kazini wapi imetaja lazima uwe na line ya TTCL?
Barua yako ya ajira inahicho kipengele?
Ukitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingineSiogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
Hapa umewakomeshaje kwa mfanoUkitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingine
Ukitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingine
Watakupa mrejesho hatuvujishi siri zaidi ya hapoHa
Hapa umewakomeshaje kwa mfano
Siogopi kitu, huwezi jua huko mbeleni, Network nyingine zikawa mwisho kuwa hewani saa kumi na mbili jioni na TTCL zikawa zinaruhusiwa kuwa hewani 24/7......nimewaza tu....
Aiseee!!!
Hizi ni dalili za kufikia nchi ya uchumi wa kati!!!!
Hakika Mkulu ni mbinufu na anaweza!
Private sector mpo?
Alafu hapa naomba kuuliza,kutatungwa sheria ya kulazimisha watumishi kuweka muda wa maongezi kwenye hizo line?!!!
Na je,watakuwa wanafuatilia kujua kila mtumishi kaongea jambo gani ili kujua kama katumia line sahihi au laa?
Na je,sheria za nchi zinaruhusu hii kitu?
Na mtumishi ambae atatumia line ya simu za makampuni binafsi kufanya mawasiliano ya simu kwa shughuli za kiserikali, atakuwa amevunja sheria gani ya nchi au taratibu ipi ya utumishi wa umma?
Nitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Kwani huko ulipo ttcl inafanya kazi
Si ndiko tunakoendea? au Sijamwelea mtoa Mada?No such a thing man. Otherwise labda iwe communizt country. Mitandao mingine itakuwa palepale kama kawa.