Kumekucha.....good morning Tanzania

Kumekucha.....good morning Tanzania

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,516
Reaction score
13,270
1470889186193.jpg
 
Lakini imetibitika asilimia kubwa ya watoto kama hawa baadaye wanakuja kufanikiwa maishani kuliko wale wanaotoka familia bora. Hawa wakipata fursa ni aghalabu kuipoteza maana hawana guarrantee kama hiyo fursa wataipata tena.
 
kwa stairi hii akiekwa idara nyeti asile rushwa
 
Huyo ndiye mkufunzi wa viwanda baadae anavyoandaliwa.
Vumbi hilo anakaa chini,anaandikia chini.
Tutafika tu kwenye Tanzania ya viwanda.
Sijakuelewa! Ulitaka rais ndio amnunulie nguo za shule rais ndio amuogeshe na amsimamie awe msafi?
Jaman kuna lawama zingne tuzitoa hazina maana kweli
 
Aiseee nilikuwa nakuona una akili kumbe bure kabisa.
Ni wapi nilikosema kuhusu Rais?
Huoni nimesema hilo vumbi linatokana na kukaa chini na kuandikia chini?
Hata afue namna gani kwa kukaa huko chini na kuandikia chini hizo sare zitakuwa ktk hali gani?

Na maisha ya Watanzania wengi wa vijijini yanafahamika.
Sare mwanafunzi anaweza kuvaa zaidi ya miaka mitatu!
Sijui unataka kusema nini wewe...
 
Acha mihemuko basi.. Kabla ya kuandika nmeandika sijakuelewa.

Hvyo ww mwenye akili ulipaswa ueleze kwa upana zaidi.
Halafu kiongozi mwenye kauli ya Tz ya viwanda anajulikana kabisa
Kutokuwa na akili kwangu kukowapi?
 
Aiseee nilikuwa nakuona una akili kumbe bure kabisa.
Ni wapi nilikosema kuhusu Rais?
Huoni nimesema hilo vumbi linatokana na kukaa chini na kuandikia chini?
Hata afue namna gani kwa kukaa huko chini na kuandikia chini hizo sare zitakuwa ktk hali gani?

Na maisha ya Watanzania wengi wa vijijini yanafahamika.
Sare mwanafunzi anaweza kuvaa zaidi ya miaka mitatu!
Sijui unataka kusema nini wewe...
Ulielezea vizuri sana,mwenye macho haambiwi tazama.............
Zao la BRN,Hakuna namna zaidi ya kwenda nao mdogomdogo...
 
Sijakuelewa! Ulitaka rais ndio amnunulie nguo za shule rais ndio amuogeshe na amsimamie awe msafi?
Jaman kuna lawama zingne tuzitoa hazina maana kweli

Kwa akili yako bila shaka wewe ni mmoja wa waliopata elimu iliyochini ya kiwango cha aliyonayo huyo mtoto. Huwezi kuelewa. Kwa kuwa hata MEMKWA haikupokei, kaa kimya usome ujifunze kwa wenye ufahamu. Siyo lazima uchangie. Ujinga ni ufunguo wa mauti.
 
Huyo ndiye mkufunzi wa viwanda baadae anavyoandaliwa.
Vumbi hilo anakaa chini,anaandikia chini.
Tutafika tu kwenye Tanzania ya viwanda.
yaani kuna sehemu ukienda tanzania hii machozi yanaweza kukumwagika halafu utakuta kuna limgodi la almasi ama makaa ya mawe lakini waliozunguka humo maisha yao yanaliza eeh mungu tuondolee ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom