Kumekucha.....good morning Tanzania

Kumekucha.....good morning Tanzania

Hata hivyo, Form one hadi Form Four lazima asome masomo ya sayansi apende au asipende...
 
Lakini imetibitika asilimia kubwa ya watoto kama hawa baadaye wanakuja kufanikiwa maishani kuliko wale wanaotoka familia bora. Hawa wakipata fursa ni aghalabu kuipoteza maana hawana guarrantee kama hiyo fursa wataipata tena.
1) Familia bora kwenye 10 basi 8 maisha yao bado yapo bora.
2) Familia duni kwenye 10 basi 1 tu ndio hubahatima.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom