Good morning terrorist!

Good morning terrorist!

bullbar

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
333
Reaction score
500
Hii salamu imenishtua sana nilipokutana nayo asubuhi ya leo! Huyu rafiki yangu yeye ni Mholanzi kutokea huko bara la waliostaarabika, yan yeye hufanya shughuli katika moja ya taasisi za kimataifa sasa ajabu leo baada ya kunisalimu kwa style ambayo nchini ukipewa hilo jina basi jiandae kwenda kubinywa viya vya uzazi na wale wenye plate number za caterpillar.

Ikabidi nihoji kama yupo serious au amekosea, akaniambia yupo serious 100% maana wameambiwa Bongo kama Tehran ukitia mguu tuu ni full vilipuzi na usitegemee mwili au hata mabaki yako yaje kuonekana.

Nimesikitika sana nguvu iliyotumika miongo yote kuitangaza Tanzania among ya nchi zenye amani but ghafla wanaotumia vichwa kama dispenser za mate walivyoharibu kwa uroho na tamaa za ulafi wa madaraka.
 
Siku zote kujenga ni kazi lakini kubomoa ni rahisi sana,unaweza kujenga heshima yako kwa miaka nenda rudi,lakini siku moja tu unapoteza kila kitu ulichopigania kwa miongo kadhaa
 
Unastuka nini sasa mkuu,amekuona wewe ni mwakilishi wa materaristi ya ccm
 
Unastuka nini sasa mkuu,amekuona wewe ni mwakilishi wa materaristi ya ccm
Kweli umejua kunidhalilisha na kunituka tusi kubwa sana la nguo mpaka maungoni...dah yan mi pia green flies
 
Unaweza Fanya Mambo makubwa na yenye tija wasikuone.
Ila we Post tu "NO REFORMS NO ELECTION"
Asubuhi tu ushasogelewa.
 
Siku zote kujenga ni kazi lakini kubomoa ni rahisi sana,unaweza kujenga heshima yako kwa miaka nenda rudi,lakini siku moja tu unapoteza kila kitu ulichopigania kwa miongo kadhaa
100% upo sahihi. Ccm wameamua kuiharibu nchi kwa kushindwa kujibu hoja za chadema na wananchi wanaotaka mabadiliko.
Ccm na serekali yake inadhamini vikundi vya kigaidi. Ref ni Mbwa mwitu na wale wengine wanaongozwa na sherkhe Mwaipopo.
Kama wawakilishi wa nchi za magharibi waliona zile clipp unadhani watachukulia utani kama wengi wa wananchi wanavyochukulia.
 
Hii salamu imenishtua sana nilipokutana nayo asubuhi ya leo! Huyu rafiki yangu yeye ni Mholanzi kutokea huko bara la waliostaarabika, yan yeye hufanya shughuli katika moja ya taasisi za kimataifa sasa ajabu leo baada ya kunisalimu kwa style ambayo nchini ukipewa hilo jina basi jiandae kwenda kubinywa viya vya uzazi na wale wenye plate number za caterpillar..
Ikabidi nihoji kama yupo serious au amekosea, akaniambia yupo serious 100% maana wameambiwa Bongo kama Tehran ukitia mguu tuu ni full vilipuzi na usitegemee mwili au hata mabaki yako yaje kuonekana..nimesikitika sana nguvu iliyotumika miongo yote kuitangaza Tanzania among ya nchi zenye amani but ghafla wanaotumia vichwa kama dispenser za mate walivyoharibu kwa uroho na tamaa za ulafi wa madaraka.
Hii nimeipenda -inasisimua sana:
Nanukuu: "......leo baada ya kunisalimu kwa style ambayo nchini ukipewa hilo jina basi jiandae kwenda kubinywa viya vya uzazi na wale wenye plate number za caterpillar...."
 
Back
Top Bottom