Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

484074_402605206464930_1936837981_n.jpg

Pichani ni Mr&Mrs Daudi, Musa, Neema na Baraka...kwa wenye kumbukumbu nzuri mnaweza kukumbuka hiki kitabu back in our old golden days...lol!!!
Du! long time, hadi Musa mguu umekwishine!.
Are you sleeping x 2
Brother Musa!
.................
 
Hahaha umenikumbusha na hiyo mkuu duh!!...

au karatasi la kaki lililokuwa likipatikana kwa kuchana mifuko ya cement iliyotumika ya tembo au simba cement.tumetoka mbali jamani,likichafuka unageuza upande wa pili
 
Au zile kalamu zenye wino wa aina nne, BLUU, NYEUSI, NYEKUNDU na KIJANI

Mwalimu anaweza kukufarukia kwa uchu akiona hujajaradia daftari...na kalendar ya mwaka jana...Basi unakuta umejaradia na picha ya pele au mchezaji wa simba kwa juu.umeandika jina lako kwa kukorezea Bic wakati ule hapakuwa na Paint Marker
 
Mmh!! mie nimesoma huko kaswenswe, kijiji kizima kina baiskeli moja tu ya Mwalimu mkuu...sasa hicho kitabu ngoja waje wanazuoni wengine labda wanakifahamu.

Kuna kitabu cha kiingeleza baba alisafirisha familia kutoka bukoba kupatia Kampala , Nairobi hadi Dar es Salaam, mwenye kuku burka anikumbushe ni siku nyingi ati.
 
What are you going to be,
What are you going to be,
I will be a teacher, I will be a teacher...

Halafu ikaja hii...!!

I am Neema,
I am a girl,
I am not a boy.

I am Musa,
I am a boy,
I am not a girl.

Dooo....those dayz bwana, acha Mbatia alie na mitaala, kweli things have follen apart and they are no longer at ease.

Daah, kweli old is gold. Yaani nakumbuka hata jinsi mwalimu alivyokuwa pake mbele akifundisha kwa moyo wote.
 
484074_402605206464930_1936837981_n.jpg

Pichani ni Mr&Mrs Daudi, Musa, Neema na Baraka...kwa wenye kumbukumbu nzuri mnaweza kukumbuka hiki kitabu back in our old golden days...lol!!!

watu8 unanikumbusha shule ya msingi MKOANI-KIBAHA lol
 
Last edited by a moderator:
jamani watu8 mwenzio nikajua kumbukumbu ya tanzia...............nimejicheka balaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenikumbusha mbali sana,in those days when men were men!
 
Daah, kweli old is gold. Yaani nakumbuka hata jinsi mwalimu alivyokuwa pake mbele akifundisha kwa moyo wote.
Mi nakumbuka mijeledi. Yaani kuna ticha huyo wee ukikosea haongei na wewe bali utaongea na mkwaju wa mti wa mkole (kwa mnaoujua mkole).
 
Are u sleeping,are u sleeping x3
Brother Musa,brother Musa,morning bell is ringing morning bell is ringing.......
Ndindondi ndindondi......
 
Mimi nilikua naipenda ile hadisi ya Lusi na Damasi!
 
Are u sleeping,are u sleeping x3
Brother Musa,brother Musa,morning bell is ringing morning bell is ringing.......
Ndindondi ndindondi......
Mkuu hapo kwenye red ulikisoma kitabu kweli au ulihadithiwa! Na aliyekuhadithia alihadithiwa na aliyemhadithia......Maana hiyo chain ndio huwa inapoteza mantiki ya ile meseji ya mwanzo kabisa.
 
Mi nakumbuka mijeledi. Yaani kuna ticha huyo wee ukikosea haongei na wewe bali utaongea na mkwaju wa mti wa mkole (kwa mnaoujua mkole).

ohhh, pole sana sana, sisi wengine tulii enjoy sana sana.
 
Mi nakumbuka kuwa Musa and Neema went at Mjimwema Primary School. My memories also remind me that Maweni Primary school was the major competitor when came to sports (I don't know if the Mjimwema and Maweni of Kigamboni or not). Also, Musa was in the football school team, and Neema was also in the netball school team.
One day Mr. Daudi's faily went to the shop, and Baraka started to cry pipi,pipi...!
 
Are u sleeping,are u sleeping x3
Brother Musa,brother Musa,morning bell is ringing morning bell is ringing.......
Ndindondi ndindondi......

Aaaaaaah,uhhhhhh, uwiiiiiiii, the school was good, gooder, goodest......(good, better, best)
 
Back
Top Bottom