Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Hahahah...shuleni kwenu mlikuwa mnavaa masweta ya rangi gani??

Duh! wakati huo ada ya mwaka mzima ni sh 20/= tu na tulisoma vizuri sana na tukafaulu.Umenikumbusha mbali sana maisha yangekuwa yanakurewind naona mimi ningekuwa wa kwanza kuyarudisha nyuma, sme ndiyo wapi, yakipita yamepita.
 
lara 1 nakuona chini hapo, au umesoma Kenya weye?....
 
Last edited by a moderator:
Naam kaka kipindi hicho madaftari unayatupia kwenye kibag flani hivi kina kamba kimechorwa maneno SPORT SPORT SPORT

Daaa kweli long kitambo sana
 
What are you going to be *2
I'll be a farmer, I'll be a farmer
I'll be a farmer that's the right for me
aaaaah wapi mwalimu wangu mama Lukendakenda
them days at Bunge nakumbuka nilikuwa mwanafunzi wa kwanza darasani kwangu III A kuandikia peni hahahhahaah
 
What are you going to be,
What are you going to be,
I will be a teacher, I will be a teacher...

Halafu ikaja hii...!!

I am Neema,
I am a girl,
I am not a boy.

I am Musa,
I am a boy,
I am not a girl.

Dooo....those dayz bwana, acha Mbatia alie na mitaala, kweli things have follen apart and they are no longer at ease.
 
Yup...kitabu lazima ukijaladie na gazeti la Chama...wale wanaojiweza wanajaladia kwa kipande cha Kalenda

au karatasi la kaki lililokuwa likipatikana kwa kuchana mifuko ya cement iliyotumika ya tembo au simba cement.tumetoka mbali jamani,likichafuka unageuza upande wa pili
 
Yup...kitabu lazima ukijaladie na gazeti la Chama...wale wanaojiweza wanajaladia kwa kipande cha Kalenda

Mwalimu anaweza kukufarukia kwa uchu akiona hujajaradia daftari...na kalendar ya mwaka jana...Basi unakuta umejaradia na picha ya pele au mchezaji wa simba kwa juu.umeandika jina lako kwa kukorezea Bic wakati ule hapakuwa na Paint Marker
 
Oooh! This book contributed a lot to the English that I speak now. There was no tuition those days. Musa and Neema with their young brother, Baraka.
 
Bado kichwani nakumbuka mambo ya:

1. I am sitting down.
2. I am standing up.
3. The cat is under the table.
4. My name is Musa.

Kuna kitabu cha kiingeleza baba alisafirisha familia kutoka bukoba kupatia Kampala , Nairobi hadi Dar es Salaam, mwenye kuku burka anikumbushe ni siku nyingi ati.
 
Back
Top Bottom