Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Daaa kimenikumbusha early 1980s primary school du tumetoka mbali kweli!!!!!! Pia Namkumbuka mwalimu wangu wa English, Mzee Prosper Bigimbwa (RIP), enzi hizo akutwambia "school life is the best". Enzi hizo ada 20/= lakini mzazi anakosa mpka mnarudishwa nyumbani da those days jamani.
 
Hahahah...natumai sasa hivi lugha ya Umombo itakua inapanda!!

Mimi nilikuwa nikikiona hiki kitabu nabadilika rangi. Nilikichukia sana hasa kwenye maswali. Kidhungu hakipandi daftari langu makosa tu. Daa umenikumbusha mwaka 88.
 
Hela haijawahi kuwa na thamani ndogo mkuu...hata lile gombe la shilingi 20 au ile noti ilikua na thamani kubwa atii...

Daaa kimenikumbusha early 1980s primary school du tumetoka mbali kweli!!!!!! Pia Namkumbuka mwalimu wangu wa English, Mzee Prosper Bigimbwa (RIP), enzi hizo akutwambia "school life is the best". Enzi hizo ada 20/= lakini mzazi anakosa mpka mnarudishwa nyumbani da those days jamani.
 
BLACKTIGER kumbe wewe na mimi wote ni watoto wa mama Msuya

Dah!mkuu mule mule yule mama alikuwa kiboko nadhani ndio best head teacher wa kipindi kile.umenikumbusha mbali sana
enzi zile dunia ilikuwa na rangi zote,sio kama sasa black & white!
 
Are u sleeping,are u sleeping x3
Brother Musa,brother Musa,morning bell is ringing morning bell is ringing.......
Ndindondi ndindondi......

Wewe ndio umepatia kabisa tulikuwa hatuwezi kusema 'ding dong'
Instead tulikuwa tumesema
Ndindondi.

Gud old days makorora shule ya msingi
 
Back
Top Bottom