Kumbe umesoma hapo Maili Moja eenh...kipindi hicho Mwalimu wa Kiingereza anapewa heshima linganifu na ile ya Mwalimu mkuu...
Yeah watu8 nimsomea hapo enzi hizoooo....Tulikuwa tunaambiwa walimu wa kingerreza wamefundishwa na wazungu lol.
Mi nakumbuka kuwa Musa and Neema went at Mjimwema Primary School. My memories also remind me that Maweni Primary school was the major competitor when came to sports (I don't know if the Mjimwema and Maweni of Kigamboni or not). Also, Musa was in the football school team, and Neema was also in the netball school team.
One day Mr. Daudi's faily went to the shop, and Baraka started to cry pipi,pipi...!
Hahaha...na wengi wao walikua wanavaa glasses.
Wapi Mwl Mama Mushi hapo Mbuyuni Pri School
Wapi Mwl Kinyemi Sepeku kule Changa Pri School Tanga
Nilikuwa navaa kaptura ya khaki na viatu vya kijani nilivyopewa na CCM baada ya kucheza alaiki ya sherehe ya kuzima mwenge!Ulikua unavaa kaptura ya khaki, blue au navy blue...???
Are you sleeping,
Are you sleeping,
brother Musa?
brother Musa?
morning bell is ringing,
morning bell is ringing,
Ding,dong,ding
Ding,dong ding....
Nimekumbuka mbaaaaali sana sana jamani
Yani upo sahihi kabisa mkuu,wakati huo kulikuwa hakuna mfumo wa vyama vingi!Bila shaka ulikua ni miongoni mwa wale vijana wakakamavu, Chipukizi wa CCM...