dah!!1 nimekumbuka mbali sana enzi hizo buhangija shule ya msingi tukiwa mchanganyiko na hawa ndg zetu wenye ulemavu wa macho.
aisee ilikuwa raha sana yaan tulikuwa tunacheza nao wakati mwingine tunawachukua hadi majumbani kwetu maana wao walikuwa wanaishi palepale shule............kweli old is gold.