Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

Kumbukumbu: Mr and Mrs Daudi's Family...

One two TIE MY SHOES
Three four SHUT THE DOOR
Five six COUNT THE STICK
Seven eight PUT THEM STLEGHT
Nine ten A BIG FAT HEN
 
Pole sana mpwa, ninahisi ulichapwa sana siku hiyo baada ya taarifa hizo kuwafikia wazazi!!!
sikumwambia mshua, ila nikakaa bila kitabu kama siku tatu hivi nikawa na tageti, nikaiba viwili, nikavifumua nikavichanganya karatasi afu nikaja na kimoja, hakuna aliyegundua
 
484074_402605206464930_1936837981_n.jpg

Pichani ni Mr&Mrs Daudi, Musa, Neema na Baraka...kwa wenye kumbukumbu nzuri mnaweza kukumbuka hiki kitabu back in our old golden days...lol!!!

Mkuu watu8 umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo Tumaini P/S, daftari likijaa unaenda kwa mwalimu wa somo anakusainia then unaenda kwa mwalimu wa darasa anakupa daftari jipya.
 
Last edited by a moderator:
Tumaini P.S ipo maeneo yapi ya nchi mkuu...hahah yale madaftari yaliyokuwa yanatoka Wizarani kama sikosei pale juu yalikuwa na picha ya Ngalawa, halafu darasa la tatu ndio ilikuwa mwanzo wa kuanza kuandika kwa BIC

Mkuu watu8 umenikumbusha mbali sana. Enzi hizo Tumaini P/S, daftari likijaa unaenda kwa mwalimu wa somo anakusainia then unaenda kwa mwalimu wa darasa anakupa daftari jipya.
 
Hahahah...brilliant idea!!! :tea:

sikumwambia mshua, ila nikakaa bila kitabu kama siku tatu hivi nikawa na tageti, nikaiba viwili, nikavifumua nikavichanganya karatasi afu nikaja na kimoja, hakuna aliyegundua
 
One two TIE MY SHOES
Three four SHUT THE DOOR
Five six COUNT THE STICK
Seven eight PUT THEM STLEGHT
Nine ten A BIG FAT HEN

Five six COUNT THE STICKS

Seven eight PUT THEM STRAIGHT
 
wakati nilipokuwa nakisoma nilitamani sana niwe kama mama baraka alikuwa ni mama anayejua majukumu yake kikamilifu kwa mwanae na mumewe na wanakijiji kwa ujumla,
 
siku hizi wanasoma utumbo mtupu..wapi mwalimu kaijage,makurumla primary school,eti siku hizi kuna shule mbili pale,ndugumbi na mwalimu nyerere..tunapotezewa kumbukumbu hivi hivi!!!mama kasoma pal,mimi nimesoma pale,.elimu ilikuwa na mashiko
 
Yaani elimu ya msingi ya miaka ya karibuni hata sijui ipo vipi...hahaha enzi hizo baada ya kufunzwa kiingereza shule, basi unakuwa na kiherere cha kusoma kila mahali...nakumbuka ilivyokuwa ngumu kusoma maneno kama "NATIONAL AND PANASONIC" au "MADE IN CHINA"...

Ha ha ha! Maneno mengine yalikuwa kama ni "Total, Energizer, Dangerous etc"
 
ni vyema kukumbuka ya kale yaliiyokuwa sehemu ya furaha zetu...halafu zile soksi zako za Pundamilia umezitunza hadi leo???
Nimezitunza kaka, siku nikiziibua itakuwa burudani kama leo.
 
Ukitaka kujua kwamba wewe ni mzee basi fuatilia mazungumzo haya,
hiki kitabu sijawahi hata kukisikia tu, tayari wenyewe wanasema Old is Gold ni old ya miaka mingapi hiyo???

Mimi nakumbuka akina Mr Masalu, Njau Mr Lweikiza, Mabula.

Kana ka nsungu umwelu!

Umusoke Umusoke Twawhelela storm! sijui ni kikelewe hicho?

Samahani wa jameni wengine enzi zetu ni 70s
 
Ni matumaini yangu kuwa ndoto zako hakika zimetimia...

wakati nilipokuwa nakisoma nilitamani sana niwe kama mama baraka alikuwa ni mama anayejua majukumu yake kikamilifu kwa mwanae na mumewe na wanakijiji kwa ujumla,
 
na walimu walijua namna ya kutufundisha tuka enjoy hizo stories
 
Duuh umenikumbusha mbali..unajua enzi hizo nikisoma Solomon Mahlangu PS!
Kitabu kizuri..sana. :smiling:
 
Acha kabisaa, enzi za kuchokozana darasani afu mnapinga kupigana njiani mkiwa mnarudi nyumbani lol.

Nilikuwa napigana sana sana siyo siri, yaani bonge la mtundu.

Huyu baba mwaliaje alinilambaga stiki sisahau i see
Siku hiyo mwalimu wa zamu kaingia darasani kabla ya kuanza kuchapa waliochelewa namba, akasema mwenye sababu ya muhimu ya kuchelewa aje mbele anieleze.
Nikatoka naijifanya nachechemea mguu unauma, nikajieleza akaniambia amenisamehe niende kukaa, nikatoka hapo narukaruka kwa furaha na-troti kurudi kwenye dawati. Akaniambia unananitania, aah nikakumbuka nimesahau kuchechemea saa ya kurudi, wacha anichape kwa hasira.
 
Mimi nilikuwa nikikiona hiki kitabu nabadilika rangi. Nilikichukia sana hasa kwenye maswali. Kidhungu hakipandi daftari langu makosa tu. Daa umenikumbusha mwaka 88.
 
Siku hiyo mwalimu wa zamu kaingia darasani kabla ya kuanza kuchapa waliochelewa namba, akasema mwenye sababu ya muhimu ya kuchelewa aje mbele anieleze.
Nikatoka naijifanya nachechemea mguu unauma, nikajieleza akaniambia amenisamehe niende kukaa, nikatoka hapo narukaruka kwa furaha na-troti kurudi kwenye dawati. Akaniambia unananitania, aah nikakumbuka nimesahau kuchechemea saa ya kurudi, wacha anichape kwa hasira.

Ha ha haaa aaa, nimecheka sana sana.
 
Kama kuna atakaekumbuka watunzi wa vitabu hivi alikuwa mama Elizabeth Yona, miaka ya 80 mama Yona alifanya PHD ya Elimu Uingereza na thesis yake ilikuwa kuwandina mitaala ya Kiingereza kwa shule za Tanzania. Kwakweli alibadilisha sana ufundishaji wa lugha hii mashuleni. Kabla ya hapo kulikuwa na vitabu vilivyoandikwa baada ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom