Alivyokua anasema nime-sacrifice maisha yangu alikua ana maanishaToka kitambo jamaa alikuwa kama gari la mkaa. Safari moja shamba, nyingine garage.
Kweli aisee, kuna wengine walikejeli wenzao kwa kupiga mapushapu sijui wako wapi leoMuumba akuepushie mbali.....
na hii kejeli
Muumba akuepushie mbali.....
na hii kejeli
Naomba nielekeze nilipokosea nitaomba radhi Mimi si mkamilifuBwana Mshana wewe ni Kioo. Ila unachofanya naamini si sahihi Kaka.
There is only one bus to travel for all and unfortunately no one comes out including youMungu amkumbuke na Huyu jamaa. Mungu unisikie please
Mungu wabariki mabeberuMabeberu yaligharamia matibabu
Maradhi ni kwa yeyote, hata wewe unaweza pata maradhi kadhaa wa kadhaa....so ni kuombeana maradhi yasimpate ytt sio kushangaana kiivo!!!SAMUNGE KWA BABU alienda kunywa kikombe kwa GONJWA LINGINE TENA khaaa
The man is deceased, leave him the heck alone.View attachment 1728994 Comments ziwe fupi na zenye kuashiria majonzi... Zibebe utu pia
View attachment 1728994 Comments ziwe fupi na zenye kuashiria majonzi... Zibebe utu pia
Anadhani unapokosea ni kudhani wengi hawaelewi fasihi na maudhui yake.