Pacome asifananishwe na mlevi toka Ndola

mwehu ndama

JF-Expert Member
Nov 12, 2019
544
1,877
Baada ya mchezo wa mbumbumbu fc na jwaneng galaxy ya Botswana mashabiki wengi wa Mbumbumbu waliibuka na kuanza kujifariji kwa kumfananisha mchawi na mwendawazimu wa kabumbu kutoka Yanga Afrika "Pacome Zouzou" na mchezaji wao mlevi toka Ndola Zambia "Chama Clatous"

Kwa tathimini fupi tu ya mchezo wa Leo baina ya kolozidad na Tanzania prisons, mtakuwa mmeona tofauti ya mchawi wa kabumbu pacome na mlevi toka ndala "chama" kiuchezaji, chama anahitaji wide space, easy marking toka kwa wapinzani bila kusahau anahitaji timu nzima iwe kwenye kiwango bora ili yeye aonyeshe uwezo wake, kitu ambacho ni kinyume na Pacome Zouzou ambaye katika mechi ngumu, zenye narrow spaces na man to man marking ndipo huibeba timu yote peke yake.

Kwa kifupi performance ya Chama inategemea flow ya timu nzima, ni mchezaji wa mechi nyepesi, mechi ambazo wapinzani wataachia mianya mingi, ila baller Pacome hajali timu iko katika kiwango gani siku husika nyie mpeni gozi la ng'ombe kisha kaeni pembeni mumuone anavyoinasua timu toka katika nyakati ngumu.

Vivaa Pacome!
 
Simba kila msimu wa usajili unapofika, yenyewe huwa iko busy kusajili magarasa tu kuwafurahisha mashabiki wao. Matokeo ya hayo magarasa yao, ndiyo haya sasa.
 
Baada ya mchezo wa mbumbumbu fc na jwaneng galaxy ya Botswana mashabiki wengi wa Mbumbumbu waliibuka na kuanza kujifariji kwa kumfananisha mchawi na mwendawazimu wa kabumbu kutoka Yanga Afrika "Pacome Zouzou" na mchezaji wao mlevi toka Ndola Zambia "Chama Clatous"

Kwa tathimini fupi tu ya mchezo wa Leo baina ya kolozidad na Tanzania prisons, mtakuwa mmeona tofauti ya mchawi wa kabumbu pacome na mlevi toka ndala "chama" kiuchezaji, chama anahitaji wide space, easy marking toka kwa wapinzani bila kusahau anahitaji timu nzima iwe kwenye kiwango bora ili yeye aonyeshe uwezo wake, kitu ambacho ni kinyume na Pacome Zouzou ambaye katika mechi ngumu, zenye narrow spaces na man to man marking ndipo huibeba timu yote peke yake.

Kwa kifupi performance ya Chama inategemea flow ya timu nzima, ni mchezaji wa mechi nyepesi, mechi ambazo wapinzani wataachia mianya mingi, ila baller Pacome hajali timu iko katika kiwango gani siku husika nyie mpeni gozi la ng'ombe kisha kaeni pembeni mumuone anavyoinasua timu toka katika nyakati ngumu.

Vivaa Pacome!
Chama anasubiri mechi ambazo viongozi washazi fix nje ya uwanja ndo awake. Leo wakajua Try again kashamalizana na kina Nurdin Issa Chona, kumbe mzigo Mo hajatoa, matokeo yake ndo yale sasa.
 
Hahaha, game ya jwaneng galaxy hadi wizara ya michezo ilishiriki kuwahujumu wale jamaa, sasa ngoja huku kwenye ligi waanze kukandwa kama kawaa
 
Baada ya mchezo wa mbumbumbu fc na jwaneng galaxy ya Botswana mashabiki wengi wa Mbumbumbu waliibuka na kuanza kujifariji kwa kumfananisha mchawi na mwendawazimu wa kabumbu kutoka Yanga Afrika "Pacome Zouzou" na mchezaji wao mlevi toka Ndola Zambia "Chama Clatous"

Kwa tathimini fupi tu ya mchezo wa Leo baina ya kolozidad na Tanzania prisons, mtakuwa mmeona tofauti ya mchawi wa kabumbu pacome na mlevi toka ndala "chama" kiuchezaji, chama anahitaji wide space, easy marking toka kwa wapinzani bila kusahau anahitaji timu nzima iwe kwenye kiwango bora ili yeye aonyeshe uwezo wake, kitu ambacho ni kinyume na Pacome Zouzou ambaye katika mechi ngumu, zenye narrow spaces na man to man marking ndipo huibeba timu yote peke yake.

Kwa kifupi performance ya Chama inategemea flow ya timu nzima, ni mchezaji wa mechi nyepesi, mechi ambazo wapinzani wataachia mianya mingi, ila baller Pacome hajali timu iko katika kiwango gani siku husika nyie mpeni gozi la ng'ombe kisha kaeni pembeni mumuone anavyoinasua timu toka katika nyakati ngumu.

Vivaa Pacome!
Katika mechi ambayo Pacome alipata heshima yangu ni ile ya makundi hapa uwanja wa nyumbani Vs Ahly alipofunga lile goli la kusawazisha.

Peke yake, wakati timu nzima imeshaloa yeye akasimama. Katikati ya msitu wa mabeki wa timu bora kabisa ya Afrika Ahly, akafunga.
Nilifurahi sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom