Kumbukizi toka UD: Maandishi hayafutiki

SAMUNGE KWA BABU alienda kunywa kikombe kwa GONJWA LINGINE TENA khaaa
Maradhi ni kwa yeyote, hata wewe unaweza pata maradhi kadhaa wa kadhaa....so ni kuombeana maradhi yasimpate ytt sio kushangaana kiivo!!!
 
Naomba nielekeze nilipokosea nitaomba radhi Mimi si mkamilifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhani unapokosea ni kudhani wengi hawaelewi fasihi na maudhui yake.

Kuwa wa upande wa pili sio kosa, kudhani waliobaki hawana uelewa nadhani ndio tatizo.

Kila mtu anaweweseka kivyake inaonesha, mlimchukia, mkachukia matendo yake, HAYUPO sasa, HAMUWEZI kupumzisha critics zenu na ku-focus kwenye kuiharibu nchi kama mlivyozoea? Au hamna hoja za maana zaidi ya kukosea na kudhalilisha tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom