Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,599
- 2,905
Mmmhh
Shimo la Tewa!!!Hili lingetoka enzi za uhai wa marehemu, nina uhakika wachangiaji wote kwenye huu uzi mngeingia shimo la tewa.
Ndugai hana budi kuangalia afya yake!Toka kitambo jamaa alikuwa kama gari la mkaa. Safari moja shamba, nyingine garage.
Mabeberu yaligharamia matibabu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji19][emoji19][emoji19]
Sio degree ni PhD ndio feki hata yeye anajuaMalango wa nyuma mnasema ana degree feki wabongo bana....
Shida ipo kwa wachangiaji wala sio kwenye mada mkuuKuna shida gani kwenye post yangu?
@Billie lipi hiloSAMUNGE KWA BABU alienda kunywa kikombe kwa GONJWA LINGINE TENA khaaa
Kweli mkuu, JPM alijitolea kwa ajili ya taifa lake, alikuwa anafanya kazi mpaka usiku kucha, kuna muda unakutana na taarifa kwa umma za Gerson msigwa saa 8 usiku mpaka unajiuliza JPM halali?? angekuwa mwingine ingekuwa kila siku ughaibuni kutafuta tiba ya afya yake lakini yeye alitumia muda wake mwingi kulitumikia taifa lake, awamu ya pili amekaa kama miezi mitatu tu so tunaweza kusema amehudumu kwa muhula mmoja tu lakini aliyoyafanya sote ni mashahidi. HAKIKA TUTAMKUKUMBUKA DAIMA HUYU MWAMBA WA AFRICA!!!!Hili limenifanya kwa kiasi fulani ni zidi kumheshimu. Alikuwa mpambanaji.
Dah! Ebwana eee!!View attachment 1728994 Comments ziwe fupi na zenye kuashiria majonzi... Zibebe utu pia[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
I salute you Mshana Jr.View attachment 1728994 Comments ziwe fupi na zenye kuashiria majonzi... Zibebe utu pia[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Let be realistic. Tusiwe wanafiki.Kweli mkuu, JPM alijitolea kwa ajili ya taifa lake, alikuwa anafanya kazi mpaka usiku kucha, kuna muda unakutana na taarifa kwa umma za Gerson msigwa saa 8 usiku mpaka unajiuliza JPM halali?? angekuwa mwingine ingekuwa kila siku ughaibuni kutafuta tiba ya afya yake lakini yeye alitumia muda wake mwingi kulitumikia taifa lake, awamu ya pili amekaa kama miezi mitatu tu so tunaweza kusema amehudumu kwa muhula mmoja tu lakini aliyoyafanya sote ni mashahidi. HAKIKA TUTAMKUKUMBUKA DAIMA HUYU MWAMBA WA AFRICA!!!!