Kumbukizi: Miaka 6 sasa hatupo na Muammar Gaddafi!

Kumbukizi: Miaka 6 sasa hatupo na Muammar Gaddafi!

Mkuu, title ya Prof isikutishe sana though haipatikani kirahisi hivyo unless uamue kujibatiza kama yule maji marefu wa Bungeni! ukweli ni kwamba naheshimu mawazo yako na hakuna namna, inabidi niyaheshimu tu! kwanza siamini kuwa waafrika hawawezi, hell No! mimi binafsi nina weza na nimeweza...hivyo basi hiyo indoctrination haiko applicable kwa watu kama mimi, bali hizo ni hisia zako kwa sababu unazozijua wewe. Mkubwa hoja ya msingi iko hivi:-
Its good to know kumbe unabishana na profesa wa ukweli, hivyo hii inasaidia kubisha kwa heshima kidogo, japo baadhi ya nyinyi maprofessa wetu...ndio mmetufikisha hapa tulipo, matitle makubwa.. lakini tukija kwenye application ya huo uprefesa wenu unakuta ni bure kabisa!, lakini sisi watu wa elimu za kuungaunga, huwezi kumbishia profesa, hivyo kwa heshima ya uprosa wake, kuna vitu inakubidi umkubalie tuu, na hivi ndivyo ninavyofanya hapa, na cha kwanza ninachokubaliana na wewe, ni hoja ya indoctrination ni hisia zangu tuu kwa sababu ninazozijua mimi.
  1. Technically, United state of Africa haiwezekani na isingewezekana kwa sababu ya different ideology kati ya nchi wanachama wa AU na nchi zinazounda bara la Afrika. ili tuwe na USA(United state of Africa) ilitakiwa tuwe kitu kimoja kwa ku-reconcile siasa zetu, sovereignty yetu na hata mipaka ya nchi to mention in few. kitu ambacho hakiwezekani. Ghadafi alichofanya ni kufufua sera ya Nkurumah kuhusu kuiunganisha Afrika kuwa kitu kimoja bila kuangalia other factors. Historia ni shahidi, hata Nkuruma hakufika mbali na ideology yake. The only motive ya ghadafi ilikuwa kushindana na wazungu na sizani kama alikuwa na uchungu na Afrika ( I stand to be corrected on this but with credible evidence...)
  1. Hata USA, kuna states zina ideologies zao, lakini imewezekana, sasa kama imewezekana USA, kwa nini ishindikane Africa?!, dream ya Gadafi ni kuunda muungano wa kiuchumi na kisiasa on international levels lakini domestic politics kila nchi inaendelea kama ilivyo, why uchumi wa Africa tupangiwe na wazungu?. Motive ya Gadafi haukuwa kushindana na wazungu, bali kuwaonyesha wazungu, tukiungana, tunaweza kila kitu bila wao!, na hii ni dhambi kubwa sana kwa mabeberu na wakoloni mambo leo, kuhakikisha bara la Africa linaendelea kuwa spoon fed, ili waendelee kututawala kwa ukoloni mambo leo. Hata haya mazungumzo ya makinikia, lengo la kile kishika uchumba cha dola milioni 300 ni kutulainisha, kuhakikisha hatununui smelter, hivyo mchanga kuendelea kusafirishwa hivyo kuendelea kuibiwam kama hatujui kilichomo kwenye mchanga huo, then tutagawa 50/50 baada ya kutoa walichotuibia!.
    [*]Afrika ilikuwa haiwezi kujitenga na ulimwengu mwingine na ikafanikiwa kwa sababu nyingi tu zilizowazi. ila nitashangaa zaidi kama huoni sababu hizo. anyway, The African Bank or sijui The African monetary fund ni kitu kisichowezekana kwa sababu Africa haina uchumi Imara wa ku-cut off dependence kutoka nchi zilizoendelea. karibia asilimia 65% ya uwekezaji huku Afrika ni FDI na hao hao ndo wenye technology. utawezaje kuwa na independent African monetary Fund wakati almost 56% ya budget ya nchi iko under subsidies?
    Hii ndio hiyo indoctrination ninayoizungumzia, ni kweli Africa haiwezi kujitegemea na kutegemea subsidies za wazungu, Gadafi akawahakikishia badala ya kutegemea hizo fedha za wazungu, yeye atatoa, ukiwa na fedha utanunua technology. Hakuna hata kampuni moja ya Tanzania au Afrika inamiliki kitalu cha gesi, kwa sababu ya huge investment, na technological capacity, lakini hata kujenga bomba tuu la gesi, the cost ya kujenga ni dola milioni 600, lakini kwa vile hatuna, tumekopa dola 1.2 kutoka Exim ya China tutalipa dola milioni 2.4, hivyo kweli tungeunganisha fedha za mifuko yetu ya hifadhi za jamiina mabenki ya ndani, tungeshindwa kupata dola milioni 600, tuajiri contractor kutujengea, lakini bomba liwe letu?. Migodi zote ni ya wawekezaji ukiondoa mgodi wa Biharamulo ambao ni wa Stamigold ya Stamico, kupitia African Bank, tungekopeshwa hizo FDI zote na miradi ikawa mali yetu, tatizo letu ni mitaji, sasa mtutu yoyote anayepanga kuziwezesha nchi za Kiafrika kujitegemea na kuacha kuwategemea wazungu, huyo ni adui number one wa mabeberu hawa!
    [*]In your pleadings, ulisema kuwa "ghadaffi ange-fund nchi zote za Kiafrika na kungeacha utegemezi IMF NA WB"....mkuu, come back to your senses! uchumi wa ghadaffi ulitegemea mafuta na anayepanga bei ya mafuta ni OPEC na the same OPEC yuko indirectly controlled na United state of America. kwa maana nyingine, ukikomesha mafuta yake, kwisha habari yake. licha ya kwamba ghadaffi was making threat to IMF and to US currency, ila namfananisha na rafiki yake kipenzi, Iddi Amin Dada...alivyokuwa anawachimba mkwala wazungu na wanamgwaya...na wote walitoweka kama upepo(jokes)
    Ghadafi alikuwa tayari kujitoa Opec na kugawa mafuta bure bara lote la Africa, kinachofanya Opec ni ku regulate uzalishaji ili ku control bei, Gadafi akasema yuko tayari kuzalisha mafuta yote ya Afrika na kuyagawa karibu na bure kwa overflood the market, ili tusiendelee kupangiwa bei na wazungu, ila kwa wazungu ataendelea kuwapiga kupata fedha za uendeshaji.
    [*]mkuu, ulisema kwamba "na viongozi wa Africa sio walishtuka, bali walishinikizwa na mabwana zao, wakatae"...tuwekee ushahidi ili wote Add to dictionary
    Hoja kuwa viongozi wa Africa wengi ni puppets wa wazungu, haihitaji level ya Ph.d kuelewa, kuna mangapi tunafanywa kwa kushikikizwa na mabeberu hawa?.
    [*]Ghadaffi aliishutumu UN kwa ugomvi binafsi kati yake na US! bahati mbaya wanafunzi siku hizi hamsomi kuwa deep but ungefuatilia kesi ya Libya vs United state of America (ICJ) miaka ile ya 1984 na kesi nyingine nyingi zilifunguliwa mpaka miaka ya 90's ungejua chanzo ni nini? lakini vyovyote ilivyokuwa, Ghadaffi had to go...
    if that is the case that he had to go, thanks for info, nitasoma nondo zako
    [*]Ndugu, siyo wote wanaamini kwenye power of karma...sometimes ni kama dua la kuku na mwewe siku zote halimpati! hizo ni imani na hisia za kibinadamu tu. George Bush senior na Junior bado wote wapo na uzee ndo unawatatiza but wako poa tu. anyway, nikiacha porojo, kasome chimbuko la mujahideen war in Afghanistan miaka ile ya 1978 na connect with cold war na malizia na chimbuko la osama...utapata picha nzuri which might change the way you view USA etc..
    kwa vile karma ni Imani, naomba kuyaheshimu mawazo yako kuhusu karma, ila kiukweli kabisa, karma is real, tatizo hakuna watu wenye uwezo wa kutoa mrejesho when karma strikes back
    [*]Hata hivyo ni Ngumu kumkuta Osama na ghadaffi peponi, kama ambavyo ngamia apenye kwenye tundu la sindano...
Haya pia ni mambo ya Imani, naomba nisiyabishanie, ila asante profesa, na kama ma profesa wetu ndio hawa!, Mungu saidia tufike salama!.

Paskali
 
Umuhimu wa mtu huonekana akiwa hayupo eneo husika alilokuwa mwanzo,,, R. I. P. Gaddafi
 
Kaka yangu Paskali nimependa sana andiko lako, na hasa ulipo jaribu kumuelekeza bwana Professor, ukweli ni kwamba mara nyingi tunapenda kubisha vitu ambavyo havina msingi, hata mara nyingine unapata tabu sana kwa wasomi kutuangusha kama ulivyo sema

Ukweli utabaki kuwa Gadaffi alikuwa ni nguzo muhimu kwa maendeleo ya Africa, pamoja na huo ubaya wa kuaminishwa ila bado alikuwa na mawazo pevu.
 
hakuna cha mzimu wala nini. He's dead and gone na Libya inasonga mbele. by the way, he was the worst dictator this world has ever seen.
Ndo inasonga mbele sasa et ?
 
Mkuu, niki-comment kwa uhalisia utasema naku-attack ila in short hizo annexed links hazina ushawishi wa kina katika kujadili or ku-support comment yako hapo juu. Yuan kuwa sarafu ya kimataifa haina nafuu yoyote kwa Afrika kwani uchumi wetu ni tegemezi na hata technology yetu ni hohe hahe. sipendi kuamini kuwa new world order waliona Ghadafi ni tishio, may be tishio katika usalama wa Dunia kwani aliaminika kufadhili ugaidi (kumbuka issue ya Lockerbie). On other side, jamaa alikuwa na greed na aliona yeye ndo kila kitu. kumbuka aliwahi kuichana UN charter kwenye Mkutano wa Umoja wa mataifa, pia aliwahi kuwa-suprise viongozi wa Afrika na mswada wa kuwa na United state of Afrika na akaja na katiba na kila kitu tayari ili viongozi wa-sign, wakashituka na wakamgomea.
link namba 2 na 3 ni furahisha genge kwani hakuwa na uwezo wa kuiongoza Afrika. nafikiri the SON OF AFRIKA alikuwa mwalimu nyerere, sekeo toure, kwame Nkuruma na Nelson Mandela. The rest ni vibaka, makuwadi/puppets wa ukoloni mamboleo na magaidi......
Ptuuuu tupa kule
 
Mkuu Prof, sijui kama ni prof kweli au ni just a title, kiukweli wazungu wametufanya mbaya sana kwenye kitu kinaitwa indoctrination kuwa Waafrika hatuwezi kitu, hivyo naheshimu mawazo yako.

Maendeleo yoyote huletwa na watu, resources, capital na entrepreneur, bara la Afrika lina watu ma resources nyingi kuliko ulaya, tatizo ni mitaji na uongozi, hivyo Libya wakati wa Gadafi ndio ilikuwa the richest country in Africa, Gadafi akajitolea kutoa capital ya kuwanzisha United States of Africa, tuanzishe The African Bank, tusitegemee WB, tuanzishe African Monetary Fund, tuache kuitegemea IMF. Aliandaa kila kitu na kujitolea kugharimia, na viongozi wa Africa sio walishtuka, bali walishinikizwa na mabwana zao, wakatae!.

Kwenye mawasiliano mpaka leo, Anglophone countries yanapitia kwanza London, Francophone yanapitia Paris, nchi zinazo zungumza Kireno, yanapitia Lisbon, nchi za Kibelgiji yanapitia Brussels, Gadafi akapandisha satellite ya Africa, to cut off kupitia huko, mabeberu wakaogopa sana!. He was very right kuishutumu UN, inafanya kazi kwa shinikizo la US, akashauri, tukiungana tunakuwa na kura ya veto kule UN.

Hakuna nchi ime fund ugaid kama Marekani!, ndio iliyomtegeneza Osama, Saadam, na wauwaji wakubwa kabisa duniani, Mayahudi!. Niliwahi kusema hapa,"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ... unaweza kushangaa kumkuta Bush, Blair na Obama motoni, halafu Osama, Saadam na Ghadafi ukawashuhudia peponi!.

Paskali
Nimekuelewa sana mkuu, hilo li prof ni li prof kanjanja tuu halina chochote
 
Its good to know kumbe unabishana na profesa wa ukweli, hivyo hii inasaidia kubisha kwa heshima kidogo, japo baadhi ya nyinyi maprofessa wetu...ndio mmetufikisha hapa tulipo, matitle makubwa.. lakini tukija kwenye application ya huo uprefesa wenu unakuta ni bure kabisa!, lakini sisi watu wa elimu za kuungaunga, huwezi kumbishia profesa, hivyo kwa heshima ya uprosa wake, kuna vitu inakubidi umkubalie tuu, na hivi ndivyo ninavyofanya hapa, na cha kwanza ninachokubaliana na wewe, ni hoja ya indoctrination ni hisia zangu tuu kwa sababu ninazozijua mimi.
  1. Hata USA, kuna states zina ideologies zao, lakini imewezekana, sasa kama imewezekana USA, kwa nini ishindikane Africa?!, dream ya Gadafi ni kuunda muungano wa kiuchumi na kisiasa on international levels lakini domestic politics kila nchi inaendelea kama ilivyo, why uchumi wa Africa tupangiwe na wazungu?. Motive ya Gadafi haukuwa kushindana na wazungu, bali kuwaonyesha wazungu, tukiungana, tunaweza kila kitu bila wao!, na hii ni dhambi kubwa sana kwa mabeberu na wakoloni mambo leo, kuhakikisha bara la Africa linaendelea kuwa spoon fed, ili waendelee kututawala kwa ukoloni mambo leo. Hata haya mazungumzo ya makinikia, lengo la kile kishika uchumba cha dola milioni 300 ni kutulainisha, kuhakikisha hatununui smelter, hivyo mchanga kuendelea kusafirishwa hivyo kuendelea kuibiwam kama hatujui kilichomo kwenye mchanga huo, then tutagawa 50/50 baada ya kutoa walichotuibia!. Hii ndio hiyo indoctrination ninayoizungumzia, ni kweli Africa haiwezi kujitegemea na kutegemea subsidies za wazungu, Gadafi akawahakikishia badala ya kutegemea hizo fedha za wazungu, yeye atatoa, ukiwa na fedha utanunua technology. Hakuna hata kampuni moja ya Tanzania au Afrika inamiliki kitalu cha gesi, kwa sababu ya huge investment, na technological capacity, lakini hata kujenga bomba tuu la gesi, the cost ya kujenga ni dola milioni 600, lakini kwa vile hatuna, tumekopa dola 1.2 kutoka Exim ya China tutalipa dola milioni 2.4, hivyo kweli tungeunganisha fedha za mifuko yetu ya hifadhi za jamiina mabenki ya ndani, tungeshindwa kupata dola milioni 600, tuajiri contractor kutujengea, lakini bomba liwe letu?. Migodi zote ni ya wawekezaji ukiondoa mgodi wa Biharamulo ambao ni wa Stamigold ya Stamico, kupitia African Bank, tungekopeshwa hizo FDI zote na miradi ikawa mali yetu, tatizo letu ni mitaji, sasa mtutu yoyote anayepanga kuziwezesha nchi za Kiafrika kujitegemea na kuacha kuwategemea wazungu, huyo ni adui number one wa mabeberu hawa! Ghadafi alikuwa tayari kujitoa Opec na kugawa mafuta bure bara lote la Africa, kinachofanya Opec ni ku regulate uzalishaji ili ku control bei, Gadafi akasema yuko tayari kuzalisha mafuta yote ya Afrika na kuyagawa karibu na bure kwa overflood the market, ili tusiendelee kupangiwa bei na wazungu, ila kwa wazungu ataendelea kuwapiga kupata fedha za uendeshaji. Hoja kuwa viongozi wa Africa wengi ni puppets wa wazungu, haihitaji level ya Ph.d kuelewa, kuna mangapi tunafanywa kwa kushikikizwa na mabeberu hawa?. if that is the case that he had to go, thanks for info, nitasoma nondo zako kwa vile karma ni Imani, naomba kuyaheshimu mawazo yako kuhusu karma, ila kiukweli kabisa, karma is real, tatizo hakuna watu wenye uwezo wa kutoa mrejesho when karma strikes back
Haya pia ni mambo ya Imani, naomba nisiyabishanie, ila asante profesa, na kama ma profesa wetu ndio hawa!, Mungu saidia tufike salama!.

Paskali
Hahah...very interesting! nilichoweza ku-note ni kuwa hisia zako zinakudanganya. naacha mjadala uwe wazi nitarudi kuandikaa nikipata muda. But with due respect naomba uwe unajisomea just in case...
 
Baba wa umoja wa Afrika, ambaye Afrika ilishindwa kuona alichokiona.
R. I. P.
Dictator wa Afrika ambae aliua Walibya na kuwazika kwenye makaburi ya halaiki.Afrika waliweza kuona ndo maana hawakwenda hats kumzika, alizikwa na familia yake tu kama Mobuttu Sseseseko wa Kongo alivyozikwa.
 
Kwa karne hii si dhani kama atakuja kiongozi amfikie huyu jamaa..
Na ni kweli hatudhani kama atakuja kiongozi amfikie huyu jamaa kwa dharau na kiburi.Ziarani nchi za nje alienda na vyakula vyake na mahema eti vya ugenini ni NAJISI.
 
Nimekupa tuu hiyo kwa uchache ila kama ulikuwepo 2011 utakuwa unajua mengi
Km alikuwepo??
Ina maana 2011 alikuwa hajazaliwa??
Au kuwepo unamaanisha nn mkuu?
 
Yaelekea ulikuwa bado mdogo sana. Hakuchimbuliwa mtaroni. Usiropoke
Haropoki labda wakati Gaddafi anakamatwa na kuuawa wewe ulikuwa unaishi mbinguni hivyo hukushudia yalikuwa yanatendeka hapa duniani.Alikamatiwa kwenye mtaro wenye najisi.Malipo yapo hapa hapa duniani , ugenini kwa wenzake alipaona pana najisi na kusafiri na mahema yake na chakula lakini mwisho wa siku alikwenda kulala kwenye najisi mtaroni.
 
hakuna cha mzimu wala nini. He's dead and gone na Libya inasonga mbele. by the way, he was the worst dictator this world has ever seen.
Inasonga mbele kivipi?..maana hakuna mtawala mpaka now..Libya inakwenda mrama..tena ukikutana na mlibya na kumuuliza kuhusu vipi bora sasa au wakati wa Gaddafi..I'm sure atasema ni bora utawala wa Gaddafi..vita mnaisikiaga tu
 
Mkuu Prof, sijui kama ni prof kweli au ni just a title, kiukweli wazungu wametufanya mbaya sana kwenye kitu kinaitwa indoctrination kuwa Waafrika hatuwezi kitu, hivyo naheshimu mawazo yako.

Maendeleo yoyote huletwa na watu, resources, capital na entrepreneur, bara la Afrika lina watu ma resources nyingi kuliko ulaya, tatizo ni mitaji na uongozi, hivyo Libya wakati wa Gadafi ndio ilikuwa the richest country in Africa, Gadafi akajitolea kutoa capital ya kuwanzisha United States of Africa, tuanzishe The African Bank, tusitegemee WB, tuanzishe African Monetary Fund, tuache kuitegemea IMF. Aliandaa kila kitu na kujitolea kugharimia, na viongozi wa Africa sio walishtuka, bali walishinikizwa na mabwana zao, wakatae!.

Kwenye mawasiliano mpaka leo, Anglophone countries yanapitia kwanza London, Francophone yanapitia Paris, nchi zinazo zungumza Kireno, yanapitia Lisbon, nchi za Kibelgiji yanapitia Brussels, Gadafi akapandisha satellite ya Africa, to cut off kupitia huko, mabeberu wakaogopa sana!. He was very right kuishutumu UN, inafanya kazi kwa shinikizo la US, akashauri, tukiungana tunakuwa na kura ya veto kule UN.

Hakuna nchi ime fund ugaid kama Marekani!, ndio iliyomtegeneza Osama, Saadam, na wauwaji wakubwa kabisa duniani, Mayahudi!. Niliwahi kusema hapa,"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ... unaweza kushangaa kumkuta Bush, Blair na Obama motoni, halafu Osama, Saadam na Ghadafi ukawashuhudia peponi!.

Paskali
Mkuu umenena vema sana na huo ndio ukweli halisi ambao walimwengu wengi hawaujui..wengi wanaaminishwa na media bila ya kushtukia yaliyojificha nyuma ya pazia
 
Ni kweli kila binadamu ana mapungufu yake huyu alikuwa na mapungufu yake lakini aliwapa watu wake kile wanachohitaji kwa maisha yao soma historia utajua libya ni nini mzimu wa Gaddaf unawatafuna walibya ona wanavyokufa kwenye maji sasa hv
Aliwapa watu wake kila kitu kutoka kwa mamake??? Utajiri wa mafuta wa Libya ndio uliowapa watu wa Libya kila kitu!!!.Hatuwezi kusoma historia ya Gaddafi iliojaa uongo wa kutunga wa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Inasonga mbele kivipi?..maana hakuna mtawala mpaka now..Libya inakwenda mrama..tena ukikutana na mlibya na kumuuliza kuhusu vipi bora sasa au wakati wa Gaddafi..I'm sure atasema ni bora utawala wa Gaddafi..vita mnaisikiaga tu
Mkuu, siyo kama unavyofikiria. nimekutana na wa-libya wengi na mpaka sasa na-supervise wanafunzi kutoka libya wanasema bora kwa sasa licha ya changamoto ya waasi/Rebels...kwani kwa sasa kuna uhuru wa kutoa maoni na kuishi kama wengine wanavyoishi ukilinganisha na enzi za dikteta Ghadaffi...
 
Inasonga mbele kivipi?..maana hakuna mtawala mpaka now..Libya inakwenda mrama..tena ukikutana na mlibya na kumuuliza kuhusu vipi bora sasa au wakati wa Gaddafi..I'm sure atasema ni bora utawala wa Gaddafi..vita mnaisikiaga tu
Ugumu wa maisha kwa Walibya sasa ni matokeo ya udikteta wake, aling'ang'ania madaraka kama vile Walibya wote walikuwa wapumbavu.Wale walionyimwa fursa ya kikatiba kutawala Libya ( wapinzani) ndo hao sasa wadundana na wafuasi wa Gaddafi.Huu ni moto uliotengenezwa na Gaddafi mwenyewe na hautazimikamilele.
 
Back
Top Bottom