Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,473
- 13,983
Watoto wadogo wanauawa kinyama,Kwa kosa gani?
Kama una kosa labda na mzazi si Bora udeal nae mwenyewe?
Mpaka Sasa sipati jibu.
Mtoto Raiyan wa Zanzibar anaesoma kidato Cha kwanza alipotea akaja kuokotwa kakatwa mikono kauwawa.
Jana mbagala mtoto wa miaka 6 Amour alikuwa anatafutwa Leo kakutwa kwenye kiroba amechomwa moto.
Kweli huyu mtoto unamuua unamchoma moto? mauaji Yao haya make sense na sababu nikifikiria siipati jibu.yamekaa kikatili.
NB : sio mauaji ya kwanza lakini mkikaa na kuyaangalia yatazidi kushamiri.
Hakuna ataebaki salama.