Mkuu Prof, sijui kama ni prof kweli au ni just a title, kiukweli wazungu wametufanya mbaya sana kwenye kitu kinaitwa indoctrination kuwa Waafrika hatuwezi kitu, hivyo naheshimu mawazo yako.
Maendeleo yoyote huletwa na watu, resources, capital na entrepreneur, bara la Afrika lina watu ma resources nyingi kuliko ulaya, tatizo ni mitaji na uongozi, hivyo Libya wakati wa Gadafi ndio ilikuwa the richest country in Africa, Gadafi akajitolea kutoa capital ya kuwanzisha United States of Africa, tuanzishe The African Bank, tusitegemee WB, tuanzishe African Monetary Fund, tuache kuitegemea IMF. Aliandaa kila kitu na kujitolea kugharimia, na viongozi wa Africa sio walishtuka, bali walishinikizwa na mabwana zao, wakatae!.
Kwenye mawasiliano mpaka leo, Anglophone countries yanapitia kwanza London, Francophone yanapitia Paris, nchi zinazo zungumza Kireno, yanapitia Lisbon, nchi za Kibelgiji yanapitia Brussels, Gadafi akapandisha satellite ya Africa, to cut off kupitia huko, mabeberu wakaogopa sana!. He was very right kuishutumu UN, inafanya kazi kwa shinikizo la US, akashauri, tukiungana tunakuwa na kura ya veto kule UN.
Hakuna nchi ime fund ugaid kama Marekani!, ndio iliyomtegeneza Osama, Saadam, na wauwaji wakubwa kabisa duniani, Mayahudi!. Niliwahi kusema hapa,
"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ... unaweza kushangaa kumkuta Bush, Blair na Obama motoni, halafu Osama, Saadam na Ghadafi ukawashuhudia peponi!.
Paskali