Septemba11
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 620
- 536
binafsi nilikuwa navutiwa na familia yake tu, watoto, career zao, life style and sooo
hakuna cha mzimu wala nini. He's dead and gone na Libya inasonga mbele. by the way, he was the worst dictator this world has ever seen.Pamoja na mabaya mzimu wake utawaandama walibya kizazi na kizazi
nani? dictator uchwara? btw, they're all blood sucker motherfuckers and nothing more!mbadala wake yuko tz na si mwingine ni MAGUFULI
Mkuu, niki-comment kwa uhalisia utasema naku-attack ila in short hizo annexed links hazina ushawishi wa kina katika kujadili or ku-support comment yako hapo juu. Yuan kuwa sarafu ya kimataifa haina nafuu yoyote kwa Afrika kwani uchumi wetu ni tegemezi na hata technology yetu ni hohe hahe. sipendi kuamini kuwa new world order waliona Ghadafi ni tishio, may be tishio katika usalama wa Dunia kwani aliaminika kufadhili ugaidi (kumbuka issue ya Lockerbie). On other side, jamaa alikuwa na greed na aliona yeye ndo kila kitu. kumbuka aliwahi kuichana UN charter kwenye Mkutano wa Umoja wa mataifa, pia aliwahi kuwa-suprise viongozi wa Afrika na mswada wa kuwa na United state of Afrika na akaja na katiba na kila kitu tayari ili viongozi wa-sign, wakashituka na wakamgomea.RIP THE SON OF AFRICA, sisi wengine, tulimlilia
Magavana wa Benki Kuu za Afrika Wakutana TZ Kuijadili "Yuan ...
Gadafi anafaa kuiongoza Afrika kweli? | JamiiForums | The Home of ...
Gaddafi's female bodyguards | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Paskali
Mkuu Prof, sijui kama ni prof kweli au ni just a title, kiukweli wazungu wametufanya mbaya sana kwenye kitu kinaitwa indoctrination kuwa Waafrika hatuwezi kitu, hivyo naheshimu mawazo yako.Mkuu, niki-comment kwa uhalisia utasema naku-attack ila in short hizo annexed links hazina ushawishi wa kina katika kujadili or ku-support comment yako hapo juu. Yuan kuwa sarafu ya kimataifa haina nafuu yoyote kwa Afrika kwani uchumi wetu ni tegemezi na hata technology yetu ni hohe hahe. sipendi kuamini kuwa new world order waliona Ghadafi ni tishio, may be tishio katika usalama wa Dunia kwani aliaminika kufadhili ugaidi (kumbuka issue ya Lockerbie). On other side, jamaa alikuwa na greed na aliona yeye ndo kila kitu. kumbuka aliwahi kuichana UN charter kwenye Mkutano wa Umoja wa mataifa, pia aliwahi kuwa-suprise viongozi wa Afrika na mswada wa kuwa na United state of Afrika na akaja na katiba na kila kitu tayari ili viongozi wa-sign, wakashituka na wakamgomea.
link namba 2 na 3 ni furahisha genge kwani hakuwa na uwezo wa kuiongoza Afrika. nafikiri the SON OF AFRIKA alikuwa mwalimu nyerere, sekeo toure, kwame Nkuruma na Nelson Mandela. The rest ni vibaka, makuwadi/puppets wa ukoloni mamboleo na magaidi......
Hii ndio source yako inayothibitisha alikuwa anaua watu miasita kwa siku??? Hapo wamesema dozens! Mkapa aliua wangapi kwenye maandamano?
Yaelekea ulikuwa bado mdogo sana. Hakuchimbuliwa mtaroni. UsiropokeIla waarabu noma...walimchimbua mtaroni kama mende vile
Mkuu, title ya Prof isikutishe sana though haipatikani kirahisi hivyo unless uamue kujibatiza kama yule maji marefu wa Bungeni! ukweli ni kwamba naheshimu mawazo yako na hakuna namna, inabidi niyaheshimu tu! kwanza siamini kuwa waafrika hawawezi, hell No! mimi binafsi nina weza na nimeweza...hivyo basi hiyo indoctrination haiko applicable kwa watu kama mimi, bali hizo ni hisia zako kwa sababu unazozijua wewe. Mkubwa hoja ya msingi iko hivi:-Mkuu Prof, sijui kama ni prof kweli au ni just a title, kiukweli wazungu wametufanya mbaya sana kwenye kitu kinaitwa indoctrination kuwa Waafrika hatuwezi kitu, hivyo naheshimu mawazo yako.
Maendeleo yoyote huletwa na watu, resources, capital na entrepreneur, bara la Afrika lina watu ma resources nyingi kuliko ulaya, tatizo ni mitaji na uongozi, hivyo Libya wakati wa Gadafi ndio ilikuwa the richest country in Africa, Gadafi akajitolea kutoa capital ya kuwanzisha United States of Africa, tuanzishe The African Bank, tusitegemee WB, tuanzishe African Monetary Fund, tuache kuitegemea IMF. Aliandaa kila kitu na kujitolea kugharimia, na viongozi wa Africa sio walishtuka, bali walishinikizwa na mabwana zao, wakatae!.
Kwenye mawasiliano mpaka leo, Anglophone countries yanapitia kwanza London, Francophone yanapitia Paris, nchi zinazo zungumza Kireno, yanapitia Lisbon, nchi za Kibelgiji yanapitia Brussels, Gadafi akapandisha satellite ya Africa, to cut off kupitia huko, mabeberu wakaogopa sana!. He was very right kuishutumu UN, inafanya kazi kwa shinikizo la US, akashauri, tukiungana tunakuwa na kura ya veto kule UN.
Hakuna nchi ime fund ugaid kama Marekani!, ndio iliyomtegeneza Osama, Saadam, na wauwaji wakubwa kabisa duniani, Mayahudi!. Niliwahi kusema hapa,"The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa ... unaweza kushangaa kumkuta Bush, Blair na Obama motoni, halafu Osama, Saadam na Ghadafi ukawashuhudia peponi!.
Paskali
Ni kweli kila binadamu ana mapungufu yake huyu alikuwa na mapungufu yake lakini aliwapa watu wake kile wanachohitaji kwa maisha yao soma historia utajua libya ni nini mzimu wa Gaddaf unawatafuna walibya ona wanavyokufa kwenye maji sasa hvhakuna cha mzimu wala nini. He's dead and gone na Libya inasonga mbele. by the way, he was the worst dictator this world has ever seen.
Like who are you kuniambia nisiropoke? Unaninunulia bundle?Yaelekea ulikuwa bado mdogo sana. Hakuchimbuliwa mtaroni. Usiropoke
Naskia mwanaye anataka kupokea kijiti alichoacha baba yakePamoja na mabaya mzimu wake utawaandama walibya kizazi na kizazi
Naskia mwanaye anataka kupokea kijiti alichoacha baba yakePamoja na mabaya mzimu wake utawaandama walibya kizazi na kizazi