Kumbukizi: Miaka 6 sasa hatupo na Muammar Gaddafi!

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,103
37,632
9fb86e4e4a024d1d1682ecd6de388133.jpg

Kama masihara vile. Jana imegota miaka 6 tangu huyu mwamba adondoshwe! Sema chochote kama kumbukizi ya mtu huyu!
 
Baba wa umoja wa Afrika, ambaye Afrika ilishindwa kuona alichokiona.
R. I. P.
How could he rest in peace! Alikuwa anadondosha watu kwa siku moja kama mia sita hivi kwa bunduki baada ya kuanza kupingwa! Huyu ni moja ya majambazi yaliyopata kuongoza nchi! Usiamini maneno yake ya umoja na kwamba nitawapa helaa!
 
Source of info?
 
Back
Top Bottom