BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
..wanadamu hawako hivyo.
..wakishapata maendeleo watadai haki na uhuru.
..hata hapa Tz wananchi wakishapata mambo ya msingi kama maji, elimu, afya,..utaona wataanza kudai masuala ya haki, uhuru wa kujieleza, etc etc.
Wanaadamu hatu-tosheki/ridhiki